Mkuu simu yako inahitaji kureload OS upya , fanya hivi connect simu yako kwenye pc ukiwa umeconnet internet, na uwe na bundle lisilopungua 300Mb hivi .
Fungua blackberry desktop manager, kama hauna google na udownload. Baada ya BDM kufungua itakuja msg ya kukuambia simu yako haitambuliki.
Itakupa option ya ku update click update then itadownload OS ya simu yako (process hii itachukua mda kulingana na speed ya internet ya mtandao wako) ita-reload OS kwenye simu yako. Na kwenye process hiyo itakupa option ya kubackup apps zako na mwishoni
Baada ya kumaliza itachukua mda kuwaka kama dakika 20 isubirie hadi imalize baada ya kumaliza unaweza kurestore backup zako ulizowahi kufanya kipindi cha nyuma ili usipoteze data zako kama contacts na sms or e-mail ..
Unatakiwa ujiamini kufanya hii kitu vinginevyo umuone fundi tu. Nimeamdika kwa haraka hope maelezo yangu yanaweza kukusaidia kwa namna moja au nyingine.