Msaada Blackberry(password)

Msaada Blackberry(password)

Adharusi

JF-Expert Member
Joined
Jan 22, 2012
Posts
14,504
Reaction score
7,439
Naomba msaada kwa wote mahiri na wajuzi!nimesahu Password yangu-katika blackberry I'd,ambayo naingiza username kama kawaida-ila password inagoma,nimejaribu kuomba msaada blackberry,lakin tatizo kuna swali naulizwa katika zile security zangu,jina la Anko wangu,nimeingiza majina ya Anko lakini inakataa,na nikitaka kuistoo new program yoyote,inataka kwanza password yangu ya blackbery I'd,ambayo sikumbuku
Msaada jaman,Ahsanten
 
Back
Top Bottom