Msaada bei ya printer

Nasikia kuna maujanja ya kuziwekea wino kwa sindano sasa sijui ni wino upi wanaouweka
Sina uhakika mkuu kama catridge wanaweka na sindano pia, ninavyofahamu ni zile zenye Matank ndio wanajazia wino.
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…