Hp zina namba mkuu! Ila kwa maelezo yako inayokufaa ni ya kutumia cartradge 2. Moja colour nyingine black. laki moja unapata printer.
Kwema humu? Aiseh na mimi na shida na printer Haswa brand ya HP kwa matumizi ya kawaida tu bei sahivi zina range sh ngapi wadau?
Nahitaj printer,preferably HP,ambayo wino wake unapatkana kirahis na cheap.Isiwe ndogo sana coz nataka kuitumia kwenye stationary,ila speed iwe ya kutosha na isiwe zle kubwa zenye function nyingi coz uchumi una bana and am only interestd in printing.Kama una suggestions zozote,bila kusahau bei zake nisaidie plz!
HP 1515 kwa around 100,000Kwema humu? Aiseh na mimi na shida na printer Haswa brand ya HP kwa matumizi ya kawaida tu bei sahivi zina range sh ngapi wadau?
Hiyo naona ipo fair mkuu, duka gani nitapata kwa hiyo bei??HP 1515 kwa around 100,000
maduka ya wasomali uhuru kkoo, toka uhuru na nyamwezi kama unaenda uhuru na congo.Hiyo naona ipo fair mkuu, duka gani nitapata kwa hiyo bei??
Poa poa mkuu nitaenda kucheki.maduka ya wasomali uhuru kkoo, toka uhuru na nyamwezi kama unaenda uhuru na congo.
HP deskjet printer, All in one (printing, copy, scann,) Black and Coloured ink catridge, kwa hapa dodoma mm nilichukua mwaka jana 150knaomba kujua bei ya printer zuri sana inayo print coloured and black.
Ok nashukuru vp ina uwezo wa kuprint page ngap mkuuHP deskjet printer, All in one (printing, copy, scann,) Black and Coloured ink catridge, kwa hapa dodoma mm nilichukua mwaka jana 150k
hizo hp mbovu sana..utapoteza pesa yako bure..Ok nashukuru vp ina uwezo wa kuprint page ngap mkuu
sidhani kama ni mbovu ila hazifai kwa matumizi yoyote makubwa. hio inafaa una ofisi au ipo nyumbani unaprint mara 1 kwa wiki. yako iliharibika mapema?hizo hp mbovu sana..utapoteza pesa yako bure..
Kwa matumizi makubwa ipi inafaa kwa kazi ya stationery?sidhani kama ni mbovu ila hazifai kwa matumizi yoyote makubwa. hio inafaa una ofisi au ipo nyumbani unaprint mara 1 kwa wiki. yako iliharibika mapema?
haifai.Kwa matumizi makubwa ipi inafaa kwa kazi ya stationery?
Sawa. printer gan nii nzuri kwa matumizi ya stationery?haifai.
sijafanya utafiti mkuu ipi ni nzuri.Sawa. printer gan nii nzuri kwa matumizi ya stationery?