Msaada: Bei ya kukodi mlinzi kwenye kampuni za ulinzi

alexis 26

Member
Jan 23, 2017
6
0
Naomba kuuliza wakuu anayejua bei ya kukodi mlinzi mmoja kwenye kampuni za ulinzi zinaanzia sh ngapi
 
kama upo maeneo ya kiluvya au kibaha kuna kampuni wanachaji laki 2
 
590,000/- vat incl.. Suma JKT kwa askari asiye na bunduki.. Kama unataka mwenye bunduki ongeza 59,000/-
 
  • Thanks
Reactions: lup
Back
Top Bottom