Msaada, bei ya dhahabu kwa soko la Dar

jembelamkono

JF-Expert Member
Nov 19, 2015
2,733
2,011
Wakuu,

Mwenye taarifa za hivi karibuni za bei ya dhahabu kwa soko la Dar es salaam anijuze tafadhali.

Ahsanteni.
 
1473420976618.png


Ingia hapa boss www.goldprice.com. then chukua hivi
1362-25(percnt wanayochukua wahind )=1337
1337÷31.1=43
43× 2185{bei ya dollar}
93933
Hii ndo bei ya Dar Es salaam per grm
 

Attachments

  • 1473420875035.png
    1473420875035.png
    174.6 KB · Views: 101
Back
Top Bottom