Msaada: Basi zuri Moshi - Dar

Yamagazeti yana kila kitu mpwa
 
Chakito long way inafahamika kama Ndama Jeuri
 
Dar Express lina customer care sifuri wahudumu na madereva hawajali Abiria. Unatoa nauli kubwa unaishia kupewa soda ya 600 na biscut ya 150. Hotel unayopelekwa kula ujipange wewe na familia chakula 6000 per plate, Barger 3500 maji na soda 2000 each. Wakati unaagiza gari linaondoka unaishia kulikimbiza. Kwa kifupi huduma na magari ya Dar Express Zimechoka. KLM nauli 33elfu huduma kama zilivyotajwa hapo juu.
 
Panda kirumo,linakimbia kama rocket za israel.
 
Kwa usalama wako panda BM YA ARUSHA-MORO UKIFIKA CHALINZE SHUKA SUBIRI ABOOD MORO-DAR THEN SEPA
 

Ni kweli kabisa Dr express wanaringa sana
 
Kama umeona kilimanjaro na dar express hayafai, jikamatie Mbazi Bus.
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…