Mzee wangu ni muhaya haswaaa sasa siku ya kupangiwa mahali alienda yeye mi sikuwepo kwa hiyo alileta uhaya kila kitu akawa anakubali tu,yeye ndo amenifikisha hapa hahaha!!Hivi mnalipaje mahari mpaka mil 2+ 1.5? Huyo mke utakuwa unachukia sana mambo yakienda vibaya maana utakuwa unakumbuka hela yako
Ila pole mwaya..nina dada angu hyo mwanaume anaetaka kumuoa amewekewa vikwazo kama vyako..wanataka mahali yote..wanaume poleniHahaha hapana sio Mimi..!!
Hahaaaa kama analipa yeye sawa lkn kwa kijana kulipa mahali kama hvyoMzee wangu ni muhaya haswaaa sasa siku ya kupangiwa mahali alienda yeye mi sikuwepo kwa hiyo alileta uhaya kila kitu akawa anakubali tu,yeye ndo amenifikisha hapa hahaha!!
Alokwambia nmeshimdwa kulipa mahali ni nani mkuu!?kama hujaelewa kausha tu sio kila kitu lazima ukitolee majibu!!sikunyingine jiheshimu!!kama ulijua huna uwezo wa kutoa mahari ulikaa na binti wa mwanamme mwenzako hadi kumzalisha kwa nini?? Angekuwa mwanao ungefurahi?? Unaanzaje kuanza vikao vya harusi bila kukubaliana na Baba yake Ulimzaa wewe huyo mwanamke?? Au unatumia kigezo cha kumzalisha kama kichaka cha kujifichia?? Kama huwezi kutoa mahari baki na mwanao mrudishe Binti yao kwao Waje wenye uwezo wa kutoa mahari wamuoe kihalali.. Acha kudhalilisha wanaume wenzako..
Halafu kuna vidume vinajiona vijanja "kuduku" wake za watu....wahenga walishasema "mke wa mtu sumu"...ndio vijana mueleweee...Ila pole mwaya..nina dada angu hyo mwanaume anaetaka kumuoa amewekewa vikwazo kama vyako..wanataka mahali yote..wanaume poleni
Bado hii sio hoja...mlitakiwa mkae as a family kabla ya kwenda ukweni...muweke vigezo vyenu vya juu au vya chini..kusema kuwa mzee wako ndie alikuwa anakubali tuu si sahihi...mshenga alikuwa wapi ?Hahaaaa kama analipa yeye sawa lkn kwa kijana kulipa mahali kama hvyo
Duuhh mwangu pole sana, mm nilikuwa naenda mwenyewe by the way sikupangiwa hela kubwaHahaha hajanilipia hata mia hawa wazee bwana hawa!
Mkuu uko sahihi kabisa lkn logic yangu ilikuwa kama mzee yuko vzrBado hii sio hoja...mlitakiwa mkae as a family kabla ya kwenda ukweni...muweke vigezo vyenu vya juu au vya chini..kusema kuwa mzee wako ndie alikuwa anakubali tuu si sahihi...mshenga alikuwa wapi ?
Mkuu Mzee wangu mi moja ya wazee wabishi kuliko mtu yoyote nimewai kukutana nae,wale wazee wasiobadiilka hope ulishawai kukutana naona..Mzee na washenga wote walikuwepo sema mshenga tulimtoa kule kule na anafahamiana na ile familia nahisi hapo ndo tulikosea..Bado hii sio hoja...mlitakiwa mkae as a family kabla ya kwenda ukweni...muweke vigezo vyenu vya juu au vya chini..kusema kuwa mzee wako ndie alikuwa anakubali tuu si sahihi...mshenga alikuwa wapi ?
Sawaaa...lkn linapofikia swala la kuoa...starring wa movie ni wewe...wazee wanakusaidia kufuata taratibu..Je,hukumdodosa mkeo kuwa taratibu za huko kwao zikoje ? Au ungemtamfuta mtu mzima wa kabila/jamii ya ukweni ambaye ni neutral(asiye ndugu) akupe taratibu..kuoa ni jambo nyeti,gumu,linalohitaji uvumilivu na rasilimali nyingi..(pesa +muda)Mkuu Mzee wangu mi moja ya wazee wabishi kuliko mtu yoyote nimewai kukutana nae,wale wazee wasiobadiilka hope ulishawai kukutana naona..Mzee na washenga wote walikuwepo sema mshenga tulimtoa kule kule na anafahamiana na ile familia nahisi hapo ndo tulikosea..
Hata mambo sikujua kama yako complicated to this extent,sisi kwetu tupo wanaume wawili kakaangu Mkubwa alivyotaka kuoa hakumshirikisha mtu,mahali kila kitu alifanya yeye bila kumshirikisha Mzee,alivyokuja kimshirikisha Mzee nakumbuka Mzee aliwaka sana alisema kwa mila zetu sisi mzazi ndo analipa mahali,huwezi amini alilipa ile mahali upya!!sasa Mimi nilikua Mzee angekua responsible na mambo ya mahali ndo maana sikua nawasiwasi kwamba hata mahali ikiwa kubwa ama ndogo nilijua kwakua yeye ndo ameenda basi atakua responsible kwayo..ila baadae mpira alinitupia Mimi nakumbuka siku ya kwenda kutoa mahali niliwasha gari kabisa kutoka dar mpka bukoba(wahaya hatupendi dharau)gari ilinilia hela zangu nyingi sana ningejua hayo yote ningepanda basi tu nikamaliza kila kitu!!Sawaaa...lkn linapofikia swala la kuoa...starring wa movie ni wewe...wazee wanakusaidia kufuata taratibu..Je,hukumdodosa mkeo kuwa taratibu za huko kwao zikoje ? Au ungemtamfuta mtu mzima wa kabila/jamii ya ukweni ambaye ni neutral(asiye ndugu) akupe taratibu..kuoa ni jambo nyeti,gumu,linalohitaji uvumilivu na rasilimali nyingi..(pesa +muda)
Ingawa watu wng wanadhan harusi(reception) ndio ndoa