mahirtwahir
JF-Expert Member
- Jan 12, 2013
- 614
- 322
Eti anasema kuna chuma linaitwa mdomo wa bata unaingizwa nacho kwa ajili sijui kama ya kutanuliwa hilo nalo pia analiogopa na daktari ni wa kiume pia ni shida ya pili eti anaona aibu kumuonesha papuchi.Huo uchafu utakuwa unamsababishia maumivu makali, dawa ni kusafisha na huwa hawatumii ganzi. Ukitoka tu kwenye kitanda cha theatre vunaweza hata kukimbia marathon.
Eti anasema kuna chuma linaitwa mdomo wa bata unaingizwa nacho kwa ajili sijui kama ya kutanuliwa hilo nalo pia analiogopa na daktari ni wa kiume pia ni shida ya pili eti anaona aibu kumuonesha papuchi.
Avumilie tu jamani iaijemdhuru tuEti anasema kuna chuma linaitwa mdomo wa bata unaingizwa nacho kwa ajili sijui kama ya kutanuliwa hilo nalo pia analiogopa na daktari ni wa kiume pia ni shida ya pili eti anaona aibu kumuonesha papuchi.
Huyo mdomo wa bata unafanya kazi kama jerk ya gari, , unapandishwa mpaka daktari apate njia ya kufanyia kazi.Eti anasema kuna chuma linaitwa mdomo wa bata unaingizwa nacho kwa ajili sijui kama ya kutanuliwa hilo nalo pia analiogopa na daktari ni wa kiume pia ni shida ya pili eti anaona aibu kumuonesha papuchi.
Usiku wa kuamkia leo ametoka kitu kama cha ajabu hivi naomba niweke pichaAvumilie tu jamani iaijemdhuru tu
Kuna uchafu umebaki dawa ni kufanyiwa D&CUsiku wa kuamkia leo ametoka kitu kama cha ajabu hivi naomba niweke pichaView attachment 722834
Akasafishwe haraka iwezekanavyo.Mubarikiwe nyote
Nisaidieni kwa anaejua mke wangu hua anakawaida ya kupunguzia akiwa na mimba (hua anapata hedhi japo kidogo) sasa katika mimba hii naona imekua nno yaani ametoka damu nyingi zaidi ya siku zake za kawaida baada ya kuenda hospital tukaambiwa mimba imechoropoka labda ka kazi ngumu ama sababu nyengine.
Kwa sababu ya maumivu makali ikabidi tupige Ultrasound ikabainika kua anauchafu katika fuko lake la uzazi (incomplete Abortion) tukashauriwa asafishe.
Tatizo amegoma kabisa kusafishwa anasema anaogopa maana kasikia inauma sana pia anasema kuangaliwa uchi wake na mtu mwengie haiwezekani.
Naombeni dawa ya kuweza kusafisha ili atumie maaana ameshapoteza damu nyingi.
Bado mtoto akikua ataachaEti anasema kuna chuma linaitwa mdomo wa bata unaingizwa nacho kwa ajili sijui kama ya kutanuliwa hilo nalo pia analiogopa na daktari ni wa kiume pia ni shida ya pili eti anaona aibu kumuonesha papuchi.
Unatumiaje hio misoprostol?Pia kwa vile kuna prolonged bleeding namshauri anywe antibiotic kama amoxylin na flagyl kwa siku saba. Ili kuzuia infection la sivyo atapata matatizo makubwa sana. Ila zingatia sana misoprostol lazima ipatikane, hiyo ndo mwisha wa matatizo
Mm nilitumia ganzHuo uchafu utakuwa unamsababishia maumivu makali, dawa ni kusafisha na huwa hawatumii ganzi. Ukitoka tu kwenye kitanda cha theatre unaweza hata kukimbia marathon.
Mkuu amelijua hilo chuma si ndiyo?Eti anasema kuna chuma linaitwa mdomo wa bata unaingizwa nacho kwa ajili sijui kama ya kutanuliwa hilo nalo pia analiogopa na daktari ni wa kiume pia ni shida ya pili eti anaona aibu kumuonesha papuchi.