Mimba kuharibika baada ya kutoka damu kama bleed


Majaribu2013

Majaribu2013

JF-Expert Member
Joined
Jul 3, 2013
Messages
859
Likes
576
Points
180
Age
39
Majaribu2013

Majaribu2013

JF-Expert Member
Joined Jul 3, 2013
859 576 180
Madaktari mnisaidie!
Dada yangu anateseka sana na tatizo hili akibeba mimba mara baada ya miezi 3 ikifika anasema kama damu inamtoka mara baada ya wiki mimba inatoka! umekuwa.mchezo wa muda mrefu, hospital amepimwa sana hakuna tatizo.zaidi ya kuambiwa apumzike! Yeye amesema kuna rafiki zake wengine watatu wametokewa na tatizo kama.hilo na inasemekana hili tatizo linawasumbua wengi kaasasa.

Tunaombeni msaada wa kiushauri na matibabu
 

Forum statistics

Threads 1,251,218
Members 481,615
Posts 29,763,003