Msaada avatarcam hd

Msaada avatarcam hd

cheppe

Senior Member
Joined
Sep 29, 2013
Posts
157
Reaction score
13
Wandugu leo nilikuwa najaribu kujifunza kujaza Ccccam kwenye qsat 15g yangu ila hiyo acount ilishatumika ikagoma kuconect niliporudi kwenye ile avatarcam hd imegoma kuconect kwenye sever msaada jamani
 
  • Habari ndugu Chepe
  • Restart qsat baada ya kuweka off cccam
  • Angalia connection ya internet kama ipo sawa,
  • Kisha rudi kwenye avatarcam weka ACTIVE - ON then Press RED BUTTON/ GREEN BUTTON
  • Ikikuletea info za account yako juwa iko tayari
 
Mwl. nimeku pm umeipata
 
Back
Top Bottom