Prof Griff
JF-Expert Member
- Aug 29, 2008
- 6,771
- 5,268
Jaribu kurudia process kutumia device ileile ambayo google imeizoea. Ukibadilisha device, ip address au wifi network inakuwa tatizo.
Natumia device ile ile tena na browser ile ile na hata wifi ile ileJaribu kurudia process kutumia device ileile ambayo google imeizoea. Ukibadilisha device, ip address au wifi network inakuwa tatizo.
Badilisha browser au delete all history kwenye browser kama passwords, cache, saved forms etc uanze from scratchNatumia device ile ile tena na browser ile ile na hata wifi ile ile
Sent using Jamii Forums mobile app
Sawa najaribu mkuuBadilisha browser au delete all history kwenye browser kama passwords, cache, saved forms etc uanze from scratch
Jaribu kurudia process kutumia device ileile ambayo google imeizoea. Ukibadilisha device, ip address au wifi network inakuwa tatizo.
Sawa kabisaIp address ambazo zinakuwa assigned tunapotumia hivi vifurushi ni Dynamic kwa maana ukizima data ukiwasha tena utakuta ile ip ashapewa mwingne nawe unapewa nyingine, hivyo not aaplicable
Sent using Jamii Forums mobile app
Ni ya Bure mkuuMkuu gmail yako ni bure ama ya kulipia? Kama ni mteja wa kulipia unaweza chat nao kirahisi.
Pesa ipo chiefAisee kama utahitaji mtu wa kurudisha hyo account from hakers nicheki uandae na hyo hela
Sent using Jamii Forums mobile app
Mkuu unatuchosha tu,unataka account yako iwe okay au unataka twende google kwa ajili yako,pia kwenda kenya hata temp pass ya karatasi unatumiaHabari wakuu,
Nimepata tatizo ambalo kimsingi sio kubwa sana na pia sio dogo sana, ni la wastani. Lakini kwa wahusika ni jepesi sana, linaweza tumia dakika 1 kuwa solved.
Ipo hivi: Nina Gmail account yangu ambayo huwa naitumia katika shughuli zangu muhimu sana siku moja nikatumiwa verification code za kureset password bila ya Mimi kureset password nikashtuka nilichofanya nika-change password haraka haraka, tatizo ndipo liliponikuta.
Nikaitumia kama week moja mbele jambo la kushangaza siku moja naingia nikakuta imeji-logout yenyewe nikajisemea haina shida nita-login upya, sasa mzozo ukaja kwenye password -- niliyoiweka mpya siikumbuki.
Ikumbukwe hii account ina recovery phone number yangu ambayo ninayo. Nikajaribu kureset verification code zinafika lakini inagoma ku-reset. Wananiambia niweke Gmail ambayo wata-contact na mimi later na nikiweka Gmail wananiambia wanashindwa ku-verify kama account ni yangu
Tatizo hili limenitokea toka October lakini hadi leo nimeshindwa kuirejesha na naihitaji sana. Nimejaribu kufatilia kwa Wana IT wa Tz lakini wapi; na katika pitapita zangu katika support forum yao wanasema account kila ikiendelea kujaribiwa ku-reset ni sawa sawa pingu kila unavyojaribu kuitoa ndio inazidi kukaza.
Nimeshajiunga vifurushi vya kimataifa kama vya USA,Canada, UK na vya nchi nyingine ili niweze kuwapigia customer care katika nchi hizo lakini hawapokei; nimeambulia hola! Leo pia nimejiunga na vifurushi vya Kenya kupiga customer service ya Kenya lakini hawapokei.
Jambo nililofikiria kutembelea Google House kwa East Africa ipo Kenya na Kenya kwenda ndio hadi passport hizi mpya za kielectroniki na mimi nina zile za zamani. Nikifikiria kuanza ku-apply passport muda unazidi kwenda sana nahitaji kwa siku mbili tatu hizi.
Ombi langu kwa mtu yoyote ambaye yupo Kenya au nchi nyingine ambaye anaweza kunisaidoa kutembelea tawi la Google na kuniwakilisha nitampa kiasi tajwa hapo juu kama Asante njia za malipo PayPal, Bitcoin au Payoneer.
NOTE: SIHITAJI MTU WA KUIRESET YEYE MWENYEWE BILA KUTEMBELEA GOOGLE AU KAMA KUNA MTU AMBAYE AMEWAHI KUWASILIANA NA GOOGLE UNAWEZA NISAIDIA NJIA ULIYOTUMIA KUWASILIANA NAO PIA KAMA KUNA MTU AMBAYE AMEPATA TATIZO KAMA LANGU NA KULISOLVE NAOMBA MSAADA
Sent using Jamii Forums mobile app
Hapa means kuna mtu mlikuwa mna share nae Gmail bila wewe kujua,na hii ilikua attempt yake kubadilisha passwordHabari wakuu,
Nimepata tatizo ambalo kimsingi sio kubwa sana na pia sio dogo sana, ni la wastani. Lakini kwa wahusika ni jepesi sana, linaweza tumia dakika 1 kuwa solved.
Ipo hivi: Nina Gmail account yangu ambayo huwa naitumia katika shughuli zangu muhimu sana siku moja nikatumiwa verification code za kureset password bila ya Mimi kureset password nikashtuka nilichofanya nika-change password haraka haraka, tatizo ndipo liliponikuta.
Hapa tayari yupo na full controll katika Gmail yakoIkumbukwe hii account ina recovery phone number yangu ambayo ninayo. Nikajaribu kureset verification code zinafika lakini inagoma ku-reset. Wananiambia niweke Gmail ambayo wata-contact na mimi later na nikiweka Gmail wananiambia wanashindwa ku-verify kama account ni yangu
Na hapa ndio kulipo washinda watuOmbi langu kwa mtu yoyote ambaye yupo Kenya au nchi nyingine ambaye anaweza kunisaidoa kutembelea tawi la Google na kuniwakilisha nitampa kiasi tajwa hapo juu kama Asante njia za malipo PayPal, Bitcoin au Payoneer.