Msaada apps za kubadili rangi ya mwanga wa simu

Msaada apps za kubadili rangi ya mwanga wa simu

samsung wanatumia vioo vinaitwa amoled, vyenyewe pixel zinajiwasha zenyewe moja moja.

makampuni mengine mengi hutumia vioo vya lcd ambavyo kunakua na mwanga kwa nyuma unamulika

super-amoled-vs-lcd-1.jpg


hivyo kama kioo chako ni lcd huwezi kupata quality/effect ya amoled sababu huna hardware husika.

hope blue unayoizungumzia ni hii

DNA-VS-N4-VS-S3.jpg
Exactly
 
Back
Top Bottom