atlas copco
JF-Expert Member
- Jun 15, 2015
- 8,552
- 9,815
Msaaada jinsi ya Ku upload video humu imekuwa changamoto kwangu
Hata mimi nimefanya hivyo hii app mpya inamapungufu mengi ile ya mwanzo ndio ilikua nzuri na haikua usumbufu.Mi mwenyewe ilinitokea....so nika uninstall hiyo app na kudownload mpya...ila hii mpya naona haijatulia kwangu....Haina new post, Subscribe,,,Participated thread....kwenu nyie ikoje kwa wanaotumia Simu Ku access JF.
Mkuu angalia vzuri kila kitu kipo ,,tena hii mpya ndo bora sanaaaa yani.Mi mwenyewe ilinitokea....so nika uninstall hiyo app na kudownload mpya...ila hii mpya naona haijatulia kwangu....Haina new post, Subscribe,,,Participated thread....kwenu nyie ikoje kwa wanaotumia Simu Ku access JF.
Mkuu nimefanikiwa kuzionaMkuu angalia vzuri kila kitu kipo ,,tena hii mpya ndo bora sanaaaa yani.
Tumia tapatalk, mzizi wa fitina utakuwa umemaliza mkuu.Leo ni wiki ya 2 sasa kila Niki ifungua inajitoa yenyewe halafu ina andika contact your service provider
Hata nikibahatika kuingia nikijaribu tu kuandika thread/nyuzi kuhusu mada yoyote ina toka.
Mpaka sasa natumia website yao ku login
Toa betri alafu weka tena...!!Hellooo app ya jf kwangu ina crash sana wiki sasa kila nikifungua inajifunga yenyewe,hapana nimetuma kwa browser tatizo nini au kwangu tu? Nimeitoa na kuiweka upya bado tatizo liko pale pale. Natumia ios device
Kwenye iphone nitoe betri ndugu???Toa betri alafu weka tena...!!
Iphone haziitaji mbwembwe...[emoji23][emoji23]Kwenye iphone nitoe betri ndugu???
imenifanya mpaka nimeuza simu yangu nikidhani labda imepitwa na wakati.mbaya zaidi mpaka tapatalk haitaki[emoji51][emoji51][emoji51]Hellooo app ya jf kwangu ina crash sana wiki sasa kila nikifungua inajifunga yenyewe,hapana nimetuma kwa browser tatizo nini au kwangu tu? Nimeitoa na kuiweka upya bado tatizo liko pale pale. Natumia ios device
mm pia napata ilo tatizo mkuuHellooo app ya jf kwangu ina crash sana wiki sasa kila nikifungua inajifunga yenyewe,hapana nimetuma kwa browser tatizo nini au kwangu tu? Nimeitoa na kuiweka upya bado tatizo liko pale pale. Natumia ios device