download wps office ipo store.Heshima kwenu wote!!,
Kama mdau mahiri wa jf naomba msaada wa application ya simu ambayo itanisaidia kutoa maandishi kwenye web na kuyaconvert kwenye PDF format.natanguliza shukrani by muhakikiwa wa kila mara!
Samahani chief namaanisha kuyaconvert nikiwa onlinedownload wps office ipo store.
ikishaingia ifungue halafu chini kulia utaona alama ya jumlisha ibonyeze halafu create new document.
paste hivyo vitu vyako ambavyo umevitoa kwenye web
ukimaliza wakati wa kusave bonyeza chini kushoto kumeandikwa tools kisha chagua file kisha chagua export to pdf.
si unacopy huko online na kuingiza kwenye app?Samahani chief namaanisha kuyaconvert nikiwa online