Umempa ushauri murua sana. Achana na hizo za kufoji. Licence ya Kaspersky inauzwa sh. 15,000 hadi 20,000 kwa maduka ya kompyuta City Centre ama K,koo Dar. Kama umeweza kunua laptop mypa huwezi kushindwa kununua antivirus.Nenda dukan ukanunue kaspersky intenet security 2013..ui install alafu ui update...huo ni ulinzi kamili...
Wakuu nimenunua compyuta mpya sina anti virus nafanyaje kuweka anti virus? nitashukuru
Aisee! AVG wanajua kama wewe ni distributor wao?
Unauliza kama nyanya zinauzwa sokoni? Una wakili lakini?Wanajuwa mi ni cracker wao Mkuu. Mnataka kuwauzia watu antivirus?
Unauliza kama nyanya zinauzwa sokoni? Una wakili lakini?
You might well be talking to their "FBI" guy...!
Ununuwe antivirus? usikubali. Download AVG Internet Security kutoka hapa. Halafu nitakupa key.
Fadhili nashukuru ndugu yangu nime download free trial sasa key nitawekaje? nitumie kwenye email kizmakoye@gmail.com
kama upo moro ntafute nikupe kaspersky antivirus licenced 365 days. kwa 10,000. nyawalen@gmail.com