chilumendo
JF-Expert Member
- Oct 26, 2013
- 2,905
- 3,083
Habari za muda huu wadau,
Niombe msaada yeyote anayeweza kunisaidia namna ya kufahamu/kupata password (numeral) niliyoisahau. Kuna taarifa mhimu nimehifadhi humo hivyo nimeshindwa kufungua kutokana na kusahau password ambazo ni namba nne niombe wadau wataalamu wa IT mnisaidie nifanyeje kuweza unlock hiyo password