Msaada anayeweza kunisaidia nimesahau password

chilumendo

JF-Expert Member
Oct 26, 2013
2,903
3,080
Habari za muda huu wadau,
Niombe msaada yeyote anayeweza kunisaidia namna ya kufahamu/kupata password (numeral) niliyoisahau. Kuna taarifa mhimu nimehifadhi humo hivyo nimeshindwa kufungua kutokana na kusahau password ambazo ni namba nne niombe wadau wataalamu wa IT mnisaidie nifanyeje kuweza unlock hiyo password
 
Password ya kitu gani??

Kama una PC tumia njia hii Bypass Pattern, Pin and Password on all MTK Phone using GSM Aladdin box
Hii ni crack ya Aladdin kwahiyo utadownload kisha una activate box (Ina keygen kabisa). Baada ya kuactive una run Aladdin kama administrator. Maelezo yote yapo kwenye hiyo website
Asante mdau, nyongeza ya maelezo kufungua hiyo sehemu lazima uwe kwenye internet yaani uwe na mb.
Kufungua hiyo sehemu kwa simu au pc vyote inawezekana ilimradi nikumbuke hiyo password, sijui hiyo mbinu uliyonipa ninaweza kuapply?
 
Kwenye device ipi? Computers, simu? Hiyo device ni aina ipi na inatumia OS ipi?
Ili niweze kuingia lazima niwe kwenye internet ninaweza kuingia kupitia simu au computer vyovyote nitakavyoamua.
Kuhusu os ya simu sina uzoefu unaulizia nini ila simu ninayotumia ni aina ya sumsung
 
Twende taratibu:

Ni password ya account fulani unayoingia kwa kutumia simu, si ndio?

hiyo sehemu unaingia kwa kutumia Browser kama Mozila, internet explorer, Chrome etc ? Na unaweka USERNAME na PASSWORD?

Kwa hiyo umeisahau hiyo password ambayo ungetakiwa kuiweka ili Ku Login?

Je unakumbuka USERNAME uliyokuwa unatumia? au EMAIL uliyotumia kujisajili?
Naweza kutumia simu au pc ila lazima niwe na internet vitu vilivyomo ni document
 
User
Twende taratibu:

Ni password ya account fulani unayoingia kwa kutumia simu, si ndio?

hiyo sehemu unaingia kwa kutumia Browser kama Mozila, internet explorer, Chrome etc ? Na unaweka USERNAME na PASSWORD?

Kwa hiyo umeisahau hiyo password ambayo ungetakiwa kuiweka ili Ku Login?

Je unakumbuka USERNAME uliyokuwa unatumia? au EMAIL uliyotumia kujisajili?
User name nakumbuka, browser natumia chrome,nilichosahau ni password ili log in
 
Sasa hyo mbona Nyepes nenda sehemu ya login kwa chini kuna maandishi forgot password click hapo itakyhitaji email uliyosajili utaweka then ukisubmit watakutumia link kwenye email ya change password utaweka nyingine bila kukudai ya zaman
 
Haina option hiyo mkuu kwa chini
 
TISS wanatafuta mtaalamu Wa IT huku jf tumesha sanuka nimwendo Wa kuchanja mbuga
Habari za muda huu wadau,
Niombe msaada yeyote anayeweza kunisaidia namna ya kufahamu/kupata password (numeral) niliyoisahau. Kuna taarifa mhimu nimehifadhi humo hivyo nimeshindwa kufungua kutokana na kusahau password ambazo ni namba nne niombe wadau wataalamu wa IT mnisaidie nifanyeje kuweza unlock hiyo password
 
Mkuu umefanya kama jamaa hapo juu alivyosema
Weka username na pass code yoyote ile,click inter/done/okay itakwambia wrong pass code italetà option ya forgot pass code.
Ingia hapo kisha weka e-mail yako au namba za simu ambazo uliweka kwenye hiyo website uliyoweka document zako,baada ya kuweka hizo email au namba ya simu utatumiwa link ya kubadilisha pass code mpya.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom