Msaada anayejua jinsi ya kudownload matokeo ya ACSEE 2017 kwenye android

monotheist

JF-Expert Member
Apr 30, 2017
720
942
Habari wakuu, Result slp hazijatoka na kuna chuo Fulani kina dahili kwa kupeleka application form moja kwa moja katika chuo hicho

Namaanisha hawatumii ule mfumo wa online application hivyo basi nahitajika kudownload matokeo kisha kuambatanisha na application form.

Msaada kwa anayefahamu
 
Chuo kama SUA wanataka uambatanishe nakala ya cheti,sasa kwa waliomaliza A'level mwaka 2017 wanaambatisha cheti gani.Naona hiki chuo bado wapo local sana.Kama kuna aliyefanikiwa kutuma maombi SUA na amemaliza A'level mwaka huu 2017 atoe uzoefu wake

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Tumia app ya necta2.2 download hapa ==>
n3cta2.2.apk

2f6850f266b246f0fcc0ae2c075c8fc1.jpg
333fb82201e0662722a6801c9a974667.jpg


Sent using Jamii Forums mobile app
 
na computer au laptop ni rahisi but we unafanya mambo magumu tu, nenda uko chuoni watakufanyia uko kitu
 
Back
Top Bottom