Msaada : Anayeijua huu wimbo.

Wadau na mimi kuna nyimbo moja ya darassa ni muda kidogo I mean zaman ina verse moja tu lakin ndefu jina lake silikumbuki
 
Kuna wimbo fulani wa kitambo kidogo wa hip hop wanaimba hivi

"jamani mashabiki(shuka shuka),
mashabiki bwana(shuka shuka),
hata biti halijaanza(shuka shuka)"

kwa unaepata huo wimbo naomba anielekeze wapi pa kuupata.
hongera wa michano huyo...wimbo unaitwa shuka au mashabiki.
"we unazijua panchi?? we mwenyewe panchi,maisha yako tuu yamekushinda kupanchi "
 
Kuna wimbo fulani wa kitambo kidogo wa hip hop wanaimba hivi

"jamani mashabiki(shuka shuka),
mashabiki bwana(shuka shuka),
hata biti halijaanza(shuka shuka)"

kwa unaepata huo wimbo naomba anielekeze wapi pa kuupata.
Hebu andika na biti lake basi kidogo
Duu cha ..du chaa didididi tuuti
Tuu tii ndi chaa du cha
 
Kwa vyote vyote ntakutunzaa tuu mwanangu

Mimi ni baba yako na wewe ni mwanangu ntakutunza tuu

Niliusikia juu kwa juu sehem, sijawah kuusikia tena.
 
mimi natafuta wimbo mmoja hivi unaimbwa...
"ni verse ya kwanza , naanza
stone kama banza
niite Mtanza-
Nia ndo ya kwanza..
ukifuga viroboto usiogope kutoa funza"!!!

unaitwaje huu, na aliimba nani?
Solo Thang Feat Q chief Kilio Changu..
Mbona wimbo yebo yebo sana huo, bado hujaupata??
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom