nyakubonga
JF-Expert Member
- Apr 5, 2015
- 4,706
- 7,433
Mke wangu anapata maumivu na kuwashwa ukeni,
Nimempeleka hospitali amekutwa na UTI ila sina hakika kua sababu za kuwashwa kwake ni UTI pekee maana kabla ya yeye kupata hilo tatizo, nilitembea na binti fulani hivi so nashindwa kuelewa itakua ni gonjwa la zinaa au itakua ni UTI hiyo hiyo.
Niambieni kitu wajuvi ili linitoke dukuduku maana mimi sijapima.