wamisako
JF-Expert Member
- Aug 28, 2015
- 917
- 872
Mwalimu mmoja, idara msingi anataka kutorka kazini aende masomon kuchukua shahada baada yakuomba ruhusa nakunyimwa na mkuu wa idara wakati kuna wengne wanamwaka mmoja kazini lkn wanapewa ruhusa ya kwenda masomoni, je atafungiwa mshahara wake?? lakini yeye kwa sasa yupo halmashauri mpya ila mshahara wake bado unatoka kupitia halmashaur mama, ila fail lake na vitu vingne vipo halmashaur mpya, na saiv kafanya application kwenda chuo na kaomba loan bord, je atafungiwa mshahara au afanyeje ili asifungiwe mshahara??