Msaada anataka kutoroka kazini aende masomoni

Msaada anataka kutoroka kazini aende masomoni

Nasikia Hawaajiri Mara2 Ndo Mana Namshauri Mwalimu Asitoroke Atakojoa Dagaa
 
Siku Izi Kuna Kitu Inaitwa LAWSON inahusika na management of human resources.Data Za Aliyeaajiriwa Ziko Hapo.Ukikatwa Mshahara Na Kufutwa Utumishi Data Zako Zinabaki Na Hata Ukiomba Ajira Wakikuingiza Kwe Payroll Inaonyesha Vyeti Vyako Vimetumika.
 
Ckiza, mwambie aende crdb bank achukue mkopo mkubwa ambapo salary itabak kama elf 50 tu kwa mwez. Baada ya hapo apotee akasome, hakika hatafukuzwa kaz wala kuzuiwa mshahara. Akirud masomon maisha kama kawaida na aripot k2on kwake. Weng nawafaham wamefanya hvyo na had leo wapo kazni. 'chukua chako mapema'(ccm)

Hii ndiyo solution bora zaidi km wamekugomea kwenda kusoma. Wengi wanatumia njia hii.
 
Afu Akifutwa Utumishi Utamwajiri Wewe??
Kwani akiyoroka ndo anafutwa kazi na utumishi au kazi tu ,bila utimishi ?na kuna mwalimu alitoroka akafutwa kaxi bila utumishi,alipomaliza chuo akaapply tena kwa cheti cha degree akapata je mtu ka hiyoalifanyaje
 
Huyo mwl, na nahisi ni wewe mwenyewe mleta uzi, atakuwa na uwezo mdogo sana wa kuchambua 'Risks' kiasi kwamba anadhani anaweza toroka kazi (kwa serikali hii ya awamu ya 5) akaenda masomoni halafu akawa salama, hiyo haiwezekani katu. Kitakachotokea ataondolewa kwenye payroll, atafutwa kazi na utumishi kimoja. Yeye aamue tu kwamba liwalo na liwe aende masomoni na yabaadae atayashughulikia huko mbele ya safari siyo kuleta ujanjaujanja enzi hizi!
 
Huyo mwl, na nahisi ni wewe mwenyewe mleta uzi, atakuwa na uwezo mdogo sana wa kuchambua 'Risks' kiasi kwamba anadhani anaweza toroka kazi (kwa serikali hii payroll awamu ya 5) akaenda masomoni halafu akawa salama, hiyo haiwezekani katu. Kitakachotokea ataondolewa kwenye payroll, atafutwa kazi na utumishi kimoja. Yeye aamue tu kwamba liwalo na liwe aende masomoni na yabaadae atayashughulikia huko mbele ya safari siyo kuleta ujanjaujanja enzi hizi!
eJe mtu aliyefutwa enzi zile kabla ya ya uongozi wa magu inakuwaje huyu,maana kwenye uhakiki wa mwaka huu hayupo je anaweza kupata kibali cha kurejea kwa ajira upya au mzee magu atakuwa amefuta mazma kwenye pa
 
eJe mtu aliyefutwa enzi zile kabla ya ya uongozi wa magu inakuwaje huyu,maana kwenye uhakiki wa mwaka huu hayupo je anaweza kupata kibali cha kurejea kwa ajira upya au mzee magu atakuwa amefuta mazma kwenye payroll na lawson,au asome upya atoke kama fresh from scol
 
Mwalimu mmoja, idara msingi anataka kutorka kazini aende masomon kuchukua shahada baada yakuomba ruhusa nakunyimwa na mkuu wa idara wakati kuna wengne wanamwaka mmoja kazini lkn wanapewa ruhusa ya kwenda masomoni, je atafungiwa mshahara wake?? lakini yeye kwa sasa yupo halmashauri mpya ila mshahara wake bado unatoka kupitia halmashaur mama, ila fail lake na vitu vingne vipo halmashaur mpya, na saiv kafanya application kwenda chuo na kaomba loan bord, je atafungiwa mshahara au afanyeje ili asifungiwe mshahara??
Kama ana mpango wa kujiajiri baada ya kupata hiyo shahada atoroke, ajira zenyewe sidhani kama zitakuwa rahisi after few years. Degree hailiwi, aache ulimbukeni asubiri ruhusa. Vyuo vipo tu na nafasi huwa hazijai miaka yote.
 
Mwalimu mmoja, idara msingi anataka kutorka kazini aende masomon kuchukua shahada baada yakuomba ruhusa nakunyimwa na mkuu wa idara wakati kuna wengne wanamwaka mmoja kazini lkn wanapewa ruhusa ya kwenda masomoni, je atafungiwa mshahara wake?? lakini yeye kwa sasa yupo halmashauri mpya ila mshahara wake bado unatoka kupitia halmashaur mama, ila fail lake na vitu vingne vipo halmashaur mpya, na saiv kafanya application kwenda chuo na kaomba loan bord, je atafungiwa mshahara au afanyeje ili asifungiwe mshahara??
Kila kitu halmashaur huanzia kwenye mpango. Plan au bajeti aingize jina kwenye mpango kwanza.
 
Back
Top Bottom