Kuna wakati naweza Amin hilo...ila kunashida sehem mkuu na akija kwangu simu inakaaga kwenye mkoba mara nyingi ila nisikufiche sijawah hisi nasalitiwa wa dalili hata moja sijaonaHuyo safari yake ya kupata mwenza haijafika mwisho... Still searching.. Give her time... You shall know the truth.
Nahisigi hilo ila inanipa taabu sana hawezi kustahimil vitu vidogo km kutopost picha ya ndan siitakuwa balaa na nikimudhi lazima aniweke DP ya ujumbe unaonihusuKama unampenda nenda nae taratibu. Mwenzako bado hajakua, utoto unamsumbua.
Halafu kingine nilichoona hapo ni kama vile huyo dada ni mswahili. Jitahidi kudate na wanawake wanaojitambua, sio hao wenye Mambo ya kiswahili.Nahisigi hilo ila inanipa taabu sana hawezi kustahimil vitu vidogo km kutopost picha ya ndan siitakuwa balaa na nikimudhi lazima aniweke DP ya ujumbe unaonihusu
Unajua waswahili siku hizi na wenyewe wanauchukia uswahili mara ya kwanza sikuuona ila now nauona sio rahisi kuvunja uhusiano ghaflaaa mkuuHalafu kingine nilichoona hapo ni kama vile huyo dada ni mswahili. Jitahidi kudate na wanawake wanaojitambua, sio hao wenye Mambo ya kiswahili.
Hili linanipasua kichwa acha kila nikiwaza ila mwanamke yupo tayari kubadli dini nakuolewa na mimi ila nimemwambia mm siwezi kukuoa ndo ubadili dini kama unataka tuoane badili tukiwa wapenzi hadi ndugu zako wajue umebadilika ila sio kwenye ndoa ndo ubadiliAisee, usisahau kuna changamoto nyingine kubwa ya DINI wakati wa kuoana utakapofikia.
Kila la kheri katika maamuzi yako!Unajua waswahili siku hizi na wenyewe wanauchukia uswahili mara ya kwanza sikuuona ila now nauona sio rahisi kuvunja uhusiano ghaflaaa mkuu
Linapokuja swala la mwenza wa kuishi naye ,moyo pekee hautoshi kuwa kipimo...Hapo pia sio kirahisi mkuu