Msaada anaefahamu Huawei Smart Phone

Msaada anaefahamu Huawei Smart Phone

Endelea kunipa ushuhuda wa Oppo
Navutiwa kuitafuta hiyo simu .
Tokana na ule uzi wako 33f
Oppo ni bonge la simu mkuu tatizo wabongo wengi huwa hatupendi kujaribu vitu vipya. Laiti ningejua kuna kitu kama oppo sokoni nisingethubutu kugusa tecno.
 
Kuna huawei Rio-L02 naomba kujua anaefaham bei yake kwa tanzainia ubora na mapungufu yake
 
Back
Top Bottom