Msaada anaefahamu Huawei Smart Phone

Nimeona specifiations nzuri mkuu nashukuru, ila naona battery yake haitoki. nisaidie kama kuna nyingine pia nilinganishe kama nitashindwa kununua hii.
P8 au P8 Light nazikubali sana, japo kuna version latest ya P9 nayo ni nzuri sana ila kwa budget yako haitotosha.
 
P8 au P8 Light nazikubali sana, japo kuna version latest ya P9 nayo ni nzuri sana ila kwa budget yako haitotosha.
Nitafanyia kazi mkuu, unazitambuaje. mfano simu zingine ni China, sijui kama nitapata tofauti na china product.
 
Nataka kununua Huawei Smart Phone yenye bei nafuu.
Napenda kujua ni Model gani ni nzuri na imara.
CC: Chief-Mkwawa
Screenshot_2017-05-10-14-52-10.jpeg
 
Saidia tu kujua faida ya hio ambayo haitoki battery, mfano mimi napata uoga siku battery ikiharibika bahati mbaya, nafikiri nitashindwa kureplace.
Huwa Nashindwa elewa kasumba ya watu kutaka simu zinazotoka battery
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom