Msaada: Amekataa kuenda kwao baada ya kunisaliti

Msaada: Amekataa kuenda kwao baada ya kunisaliti

Umethibitisha halafu anakudindishia?
 
Wewe mwanaume wawapi unashindwaje kumtoa mwanamke aliye kusaliti ndani.
 
mi nna mmoja ni wapenzi tu, ila usaliti wake kiwango cha lami. mahusino miezi mi 3 tusha kichafua mara 6 kasha uza mechi mara 3 nje?

sababu zake kuuza mechi utacheka mwaka mzima et jamaa alimsaidiaga zamani na amemfatilia kweli akaona mtunuku papuchi ***** nimetoka kimya kimya

kuna watu wana ugonjwa wa kusaliti
 
Pole sana mkuu! Ila jifunze kuheshimu PRIVACY ya mwenzio. Simu ya mkeo wewe unakwenda kusoma meseji zake then unakuja hapa kuomba msaada. Kwa nini hukuomba kabla tukushauri kama ni vizuri kusoma meseji za mwenzio? Kuna rafiki yangu aliwahi kuniambia: UKISOMA MESEJI ZA MWENZIO UWE TAYARI KUPOKEA UTAKACHOKIKUTA!
 
Hapo dawa ni moja tu.
Kata huduma faster, hakuna kutoa pesa, wala chakula wala nini.
Baada ya wiki moja tu, atasepa mwenyewe.

Hakuna kucheka na kima.
 
Mkuuu ,,najua unampenda. Ila Huyo mwanamke atakuona Bonge lafala km utashindwa kureact ...wewe react kiume alafu sasa ndo baadae muongeee ..hapo ndipo utakua unamfundisha ...lkn ukikaa kimya ivo tehee tehee dem atakuona falaaaa ,,alafu utagongewa km kawaidaa
 
Mara nyingi huwa nakuwa sina maongezi kwny issue hizo ni kila mtu kuanza maisha mapya peke yake
 
Weka hapa hiyo meseji iliyokutia hasira.....
Nashukuruni wote kwa ushauri. Nimeona niweka message ambazo zimethibitisha alichepuka
2017-09-09+16.12.39.jpg


Sent using Jamii Forums mobile app
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom