Msaada: Amekataa kuenda kwao baada ya kunisaliti

Msaada: Amekataa kuenda kwao baada ya kunisaliti

Mungu wangu, hivi wewe ni mwanaume??

Aseeee ndio maana tunaozeaka hatuhitaji tenaa kushauliana na nyie
 
Lazima utakua wa Dar

Mkoa huyo dada angekula za chembe nadhani angeenda nyumbani yeye mwenyewe
 
Nashukuruni wote kwa ushauri. Nimeona niweka message ambazo zimethibitisha alichepukaView attachment 584904

Sent using Jamii Forums mobile app
Mkuuu ,, serious ,,mwanamke anahitaji MANHOOD. hakikisha kwanza ufanye haya,, km unaamua kumrudisha kwao mrudishe ndo mtayaongea hukoooo.

Km unaaamua kutulia ,, Basi tulia,,usimwongeleshe ,,wala usishee naye kitu chochote ,,mpaka pale utakapoona kaumia kweli kweli .....lkn kwaiyo yako naye anakujibu "" SIENDI "" MAMA WEEEEEEEEE......IYO NYUMBA YAKE ???? ANAKULISHA ??? ANAMCHANGO GANI NAWW ????.....

DUUUHHHH EEEHHHH MBIGU NISAMEHE MIMI MWANAMME WA KANDA YA ZIWA.......nyie wadalisalama ngoja niwaache.
 
Mfano nimegoma siendi labda uniue utanifanyaje mfano MTU mzima mie

Sent from my itel S11 using JamiiForums mobile app
 
Ndiyo kwani alioa malaika?

Sent from my itel S11 using JamiiForums mobile app
Am sorry miss chaga ..ila nahisi bado hujaolewa ,,km umeolewa unachepuka ,,nakm bado hujachepuka Basi upo ktk process zakuchepuka na unataman .

Nakm unampenzi bado hamjafunga ndoa , (unachepuka kwa mshikaji mwingine.. .sasa km wote niwachepukaji hamna madhara ..ila km unachepuka najamaa katulia ,,Basi HUFAI KUA MWANAMKE WAHUYO MSHIKAJI.
 
Habari wanajamvi,

Nimeishi ya mwanamke kwa miaka mitatu na tuna mtoto mmoja. Ila hajufunga ndoa. Jana nimekuta jumbe za mapenzi za mwanaume akimtumia mpenzi wangu zinazoashiria alikuwa akichepuka naye. Jumbe hizo zilikuwa zinamsifu jinsi walivyokutana wakafanya.

Lengo la kuomba msaada wenu ni baada ya kumwambia aenda kwao tukayaongee huko ila kakataa katukatu, na kusema haenda tena kwa hasira.

Kiukweli hamu na yeye imeisha! Naombeni ushauri wenu!

Sent using Jamii Forums mobile app
Wewe umekaa na mtoto wa watu bila kuhalalisha uhusiano halaf leo wataka umhukumu mwenzako kwa kukuchapia? Mi naona hamna tofauti na huyo mchepuko wake na usipoangalia atachumbiwa akiwa hapo hapo kwako
Oa ili uwe na mamlaka naye

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mfano nimegoma siendi labda uniue utanifanyaje mfano MTU mzima mie

Sent from my itel S11 using JamiiForums mobile app
Yaan ilo swali unamuuliza mwanamme wa mkoa gan????? Mimi hapa kweli ??????????????

Embu acha masiala ,,au ilo niswali ukilenga wanaume wa dar na pwani ?????? Daahhhhhhh nashindwa hata nikujibu vipi ..

Apo sinanjia sijui cha plan A au B ....nikipigo tu ndo kitakuondoa ..Jeuri hula kiburi .
 
Ukinipiga napiga ukunga watu wanakuja utapelekwa polisi me nabaki

Sent from my itel S11 using JamiiForums mobile app
 
Ukinipiga napiga ukunga watu wanakuja utapelekwa polisi me nabaki

Sent from my itel S11 using JamiiForums mobile app
mmmhhhhhhhh miss,,, unamifurahisha .....Mimi ngoja nikupe H/work,, tafuta niwanaume gan tanzania ,,ugonv wao huwa sio polis wala majiran wote hawawezi kuingilia .....ukishajua hilo ..Basi kelele zako ataziogopa mwanaume wa Dar maana ndio wanaogopa polis nando wanaogopa majirani ...

Kwaufupi ,,kadiri utakavyongeza kelele ,,ndivyo kipigo kinaongezeka.
 
halafu huyo dada awe single mother... mfyuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuu wanaume wabinafsi kama nini

Kabla ya kumcheat mwenzio unabid ufikirie mara x2 x2 na pia uwe tayari kwa lolote
Hapo ataanza kuwaulaumu wanaume ni wabaya. Hakuna kiumbe chenye roho nzuri km mwanaume na pia hakuna kiumbe chenye roho mbaya km mwanaume.
Huyo mwanamke kajichanganya sana, na huyo jamaa aliyecheat naye keshaingia mitini kwahiyo ajiaandae kuwa single mother tu lbd jamaa amuhurumie lkn ndoa yake keshaitia doa.
Makosa ufanye ww ulaumu wengine. Sema jamaa anahuruma tu. Ningekuwa mm, natafuta chumba sehemu, mbali napoishi. Kisha narudi home, tunasuluhisha matatizo yote, inapita km siku 4 hapo nakuonesha mapenz moto moto, nakupa hela km 30,000 hiv ukanunulie kitu, najua kwenda na kurudi utatumia km masaa 5 hiv, unaondoka, nakodi gari, nachukua vitu vyangu vyote, namba ya simu nabadilisha. Ukirudi utajua mwenyew, yule jamaa mliyevunja naye amri 6 atabeba majukumu.
 
Endelea kumhudumia yeye na mtoto, mambo ya mapenzi hakuna ikiwezekana mwachie hapo unapoishi kaanze upya.
 
Kuchapiwa siri ya ndani. We toka muachie nyumba,atakutafuta muyaongee.
 
Wakina Mama wengi hupenda sana kutujaribu wanaume kujua udhaufu wetu upo wapi na pindi akishajua udhaifu wako upo sehemu fulani...Utateseka maisha yako yote....Epuka mwanamke ajue huna ujasiri katika kufanya maamuzi yako utateseka sana...
Kweli kabisa mkuu. Wanaume wasio na misimamo huwa na shida sana ktk mahusiano.
 
Kuna wanaume wenzetu mnatuangusha kwa kukosa ujasiri. Mwanamke wako anachepuka na unakuta ushahidi wa maandishi halafu unamuachia nafasi ya kukukasirikia? Tandika vibao huyo mtimue nyumbani kwao. Mchepukaji huwa haachi. Grow a pair of balls dude.
 
Ni swali la mwanaume wa Dar mkuu hadi mkoa wa pwani huko sio mvulana
Yawezekana mkuu maanake sikutarajia maneno kama haya yamtoke mwanaume anayejielewa tena heading imeanza na msaada kwa maana ya kwamba kashindwa kabisa kupata utatuzi aisee wanaume are perishing.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom