Msaada: Amekataa kuenda kwao baada ya kunisaliti

Msaada: Amekataa kuenda kwao baada ya kunisaliti

Haaahaaaa! Miaka mitatu umeishi nae, na umemzalisha na hujafunga nae ndoa! Anatafuta wa kufunga nae ndoa, kaona hapo kwako future yake ni giza!

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Habari wanajamvi,

Nimeishi ya mwanamke kwa miaka mitatu na tuna mtoto mmoja. Ila hajufunga ndoa. Jana nimekuta jumbe za mapenzi za mwanaume akimtumia mpenzi wangu zinazoashiria alikuwa akichepuka naye. Jumbe hizo zilikuwa zinamsifu jinsi walivyokutana wakafanya.

Lengo la kuomba msaada wenu ni baada ya kumwambia aenda kwao tukayaongee huko ila kakataa katukatu, na kusema haenda tena kwa hasira.

Kiukweli hamu na yeye imeisha! Naombeni ushauri wenu!

Sent using Jamii Forums mobile app
Anakuja juu tena? Huyo kakuwekea limbwata sio bure na hapo huna la kufanya eti ee
 
Kama unahakika hujawahi kuchepuka toka uwe naye basi mrudishe kwao lkn kama ulishawahi basi msamehe maisha yaendelee
 
Weka hapa hiyo meseji iliyokutia hasira.....
 
Wakina Mama wengi hupenda sana kutujaribu wanaume kujua udhaufu wetu upo wapi na pindi akishajua udhaifu wako upo sehemu fulani...Utateseka maisha yako yote....Epuka mwanamke ajue huna ujasiri katika kufanya maamuzi yako utateseka sana...
 
Habari wanajamvi,

Nimeishi ya mwanamke kwa miaka mitatu na tuna mtoto mmoja. Ila hajufunga ndoa. Jana nimekuta jumbe za mapenzi za mwanaume akimtumia mpenzi wangu zinazoashiria alikuwa akichepuka naye. Jumbe hizo zilikuwa zinamsifu jinsi walivyokutana wakafanya.

Lengo la kuomba msaada wenu ni baada ya kumwambia aenda kwao tukayaongee huko ila kakataa katukatu, na kusema haenda tena kwa hasira.

Kiukweli hamu na yeye imeisha! Naombeni ushauri wenu!

Sent using Jamii Forums mobile app
Huwaga namchana mtu mapema kwa kweli asipotumia ustaarabu tunafikishana pabaya. Ingekua mm angeshafika ICU mda sana. Hongera kwa kukaa nae muda wote huo.
 
Usigongewe kwani we nani?
Jipe muda, samehe maisha yaendelee
Mpenzi wa peke ako hakuna
 
Tupia kwenye shimo LA taka Hugo kiumbe. Hafai kwenye jamii yetu. Ndio wanaoamnukiza Tabia chafu kwa warembo wengine, kwa kuwa ukiendelea nae uozo kama huo utaendelezwa na wengine kwa kuwa tabia Hii itaonekana ni jambo LA kawaida ktk jamii yetu. Magonjwa ya zinaa ni mengi ikiwa pa1 na H. I. V. Niite nikusaidie kumtumbua. Hawatufai watu kama hawa wasioweza kutunza tupu zao.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Umekosea kidogo kuto funga ndoa...si jambo zurii...ila kwa hili jaribu kuyaweka sawa ataa ivyoo hisia nazoo hazikawwiii kuondoka hasaa kwa kuthibitisha mkeo anachepuka,,,,,ikiwezekana zaidii ooaa mwanamke mwengine

Sent using Jamii Forums mobile app
Kwa mwanamke msaliti kama huyo jamaa hapswi kulaumiwa kutokimbilia kujifunga nae kiapo cha maisha yote. Sasa anayo fursa ya kujitathimini je atavumilia usaliti kama huo hadi kufa? Au aachane nae akaoe mwanamke mwingine? Angefunga nae ndoa na majanga kama hayo angefanyeje?
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom