Msaada: Amekataa kuenda kwao baada ya kunisaliti

Msaada: Amekataa kuenda kwao baada ya kunisaliti

Hakuna haja ya kuwaambia wazazi,
Pia huyo sio mkeo maana hamjafunga ndoa so kuwa mpole tu hauna chako hapo.
Halafu, we ongea naye tu kiutu uzima, ikiwezekana na huyo mchepuko aitwe ili mpate suluhu kuwa nani ni wa nani kesi iishe,
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom