Msaada: All Documents converted to VLC

Msaada: All Documents converted to VLC

Unatumia mbinu gani kufungua, naomba nifafanulie kama hautajali.
TAFUTA HII TOOL
Hitman Pro Kickstart Tool

Ikishindakana hapo chomoa hadi disk kachomeke Kama external kwenye non affected pc Kisha boot in safe mode, copy data zote weka kwenye folder moja, authentic user...

Restart normally your system Kisha chukua flash disk ban software moja hivi kwenye flash disk inaitwa bien ransom utility.

Boot pc chagua flash as bootable device, utakuta a na screen yenye maelezo utafuata maelekezo na hatimaye utaweza kufungua files zako..

Wakati huo hdd yako pi isome as external.

Pia ipo njia ya file moja moja ambayo ni manual inaconsume muda mwingi kulingana na Wingi wa files..

Pia kutumia Linux based system Kama puppy Linux nk
 
Hao mbwa hao siwasahau. Mimi nilipigwa na .cerber3, walinipiga file kama kama 300gb za kutengenezea simu.

Mbwa sana hao jamaa
----------------------

Hiki ndio kiliwahi kunikumba
 
Hulingana na complexity ya ransomware hiyo. Lakini ndio. Nyingi sana zaweza kutatuliwa.

Agreedm hulingana na complexity. Ila it's the other way around. Nyingi hazitatuliki. The RSA encryption used these days is simply impossible to crack lakini most tools zinajaribu tu kupata the hidden key. Kuipata key ndo kunatofautiana on complexity, ila with most cases it's a lost cause
 
Back
Top Bottom