Msaada ajira za Ualimu

Msaada ajira za Ualimu

tztz

JF-Expert Member
Joined
Jun 30, 2021
Posts
275
Reaction score
258
Msaada ukiomba kazi ya ualimu ukapangiwa kituo cha kazi ukaacha kwenda kureport vipi unahesabiwa kuwa umeajiriwa tayar ata kama hukwenda au unaruhusiwa kuomba tena?

Maana nilipangiwa siku report wala kujaza mkataba naomba kusaidiwa kabla ya deadline.

Sent from my SM-A217F using

JamiiForums mobile app
 
Msaada ukiomba kazi ya ualimu ukapangiwa kituo cha kazi ukaacha kwenda kureport vipi unahesabiwa kuwa umeajiriwa tayar ata kama hukwenda au unaruhusiwa kuomba tena ? Maana nilipangiwa siku report wala kujaza mkataba naomba kusaidiwa kabla ya deadline

Sent from my SM-A217F using JamiiForums mobile app
Ulipangiwa kituo cha kazi lini??jibu kwanza ndo nikupe majibu
 
Pole kwakweli
Ngoja wajuzi waje.
Nawaza watu wanavyotamani kupata hizi nafasi halafu kuna wengine walipata lakini hawakwenda.
Sikulaumu mana siwezi jua yalikusibu yapi
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom