siwashauri hata kidogo niamini mimi, wanachokifanya wanakwambia utoe nauli kumkomboaj binti na pesa ya ofisi, ukishatoa yatatokea mojawapo kati ya haya 1,utakuwa unalisha na wale madalali bila kujua 2, binti hatamaliza mwezi kwa ukorofi uvivu au ujeuri, wanakuwa wamepanga na wale watu 3, kuibiwa vitu vikubwa au vidogo 4, nyumba kugeuzwa danguro, mara nyingi hao mahg wapo tu hapa mjini wanaishi na hao madalali si wafanyakazi bali ni wezi na matapeli wakubwa. wakifanikiwa kumaliza mwezi shukuru Mungu kwakuwa mara nyingi huhamishwa ofisi ili wapate kipato