Wadau napata shida baada ya kubadilisha Background ya Picha/Kuedit napata shida jinsi ya Kusave kwenye PC mfano nimeiwekea background nyeupe ila nikienda kule juu kwenye image-Export sioni Option pia nikijaribu kwenye Save as option haiji msaada please!Cc.
CHIEF MKWAWA snipa