Msaada ada university of dar es salaam

Msaada ada university of dar es salaam

Kweli kabisa hayuko serious... Nenda hata KFC au pizza hut kawe waiter wakupe laki mbili au Tatu kwa mwezi...
Sasa kila ukishauriwa unapinga mkuu mojawapo kasema nenda kanisani unapinga, fanya mishe mtaani unapinga, ww unataka upewe cash mkononi??!!!.

Kama. Unataka cash mkononi nenda pale mwenge ofisi za HESLB, ukifika muulizie Razaq Badru atakupa.
 
Hajui kua maisha ni vita sio rahisi kama anavyojaribu kuyachukulia..
Sijui hii tabia ya kuombaomba inaisha lini , mwisho wa siku atakosa kazi aje tena hapa aombe! Maisha ni magumu Na sharti kila mtu ayapitie , no shortcut, hata Mimi nini mashida kibao Ila kuomba haiwezi kuwa suluhu ya shida zangu as long as nina nguvu na Akili za kufanya kazi
 
habari wanajf naomba msaada wa ada. nimepata nafasi ya kusoma university of dar es salaam COICT, Diploma in Computer science.
ada ni milioni mbili kwa miaka miwili yote, but semister ya kwanza inahitajika laki 5 na elfu tano ya kitambulisho
accomodation na other fees ni kama
books and stationary 150,000 x2
meals 952000x2
accommodation 595000x2
IPT expenses 600000x2
transport IPT 40000x2
total cost mpaka namaliza chuo ni shilingi 6679000
msaada wa ada ninaoomba ntaurudisha baada ya kuhitimu masomo na kupata kazi kwa kulipia kidogo dogo kwa kuongezea riba ya asilimia ishirini
yaani mwisho ntarudisha 8014800 tshs
kama unataka kujiridhisha zaidi nipo na admission letter tayari,na msaada wa hali yoyote ile unakaribishwa
malengo yangu ni kugraduate nikiwa competent kwenye computer programming
ntashukuru endapo lengo langu litakubaliwa
mawasiliano 0628 041 901
Jaribu kwenda pale Lumumba,waalezee shida yako wanaeza kukusaidia
 
Back
Top Bottom