Msaada ada university of dar es salaam

Oct 25, 2018
12
1
habari wanajf naomba msaada wa ada. nimepata nafasi ya kusoma university of dar es salaam COICT, Diploma in Computer science.
ada ni milioni mbili kwa miaka miwili yote, but semister ya kwanza inahitajika laki 5 na elfu tano ya kitambulisho
accomodation na other fees ni kama
books and stationary 150,000 x2
meals 952000x2
accommodation 595000x2
IPT expenses 600000x2
transport IPT 40000x2
total cost mpaka namaliza chuo ni shilingi 6679000
msaada wa ada ninaoomba ntaurudisha baada ya kuhitimu masomo na kupata kazi kwa kulipia kidogo dogo kwa kuongezea riba ya asilimia ishirini
yaani mwisho ntarudisha 8014800 tshs
kama unataka kujiridhisha zaidi nipo na admission letter tayari,na msaada wa hali yoyote ile unakaribishwa
malengo yangu ni kugraduate nikiwa competent kwenye computer programming
ntashukuru endapo lengo langu litakubaliwa
mawasiliano 0628 041 901
 
Kila la heri .
Nikushauri kidogo ungejitaidi kuijua JF hata kwa siku mbili ilivyo ndo uweke huu uzi. Maana kuna muda utajutia uloyaeka hapa wazi
 
habari wanajf naomba msaada wa ada. nimepata nafasi ya kusoma university of dar es salaam COICT, Diploma in Computer science.
ada ni milioni mbili kwa miaka miwili yote, but semister ya kwanza inahitajika laki 5 na elfu tano ya kitambulisho
accomodation na other fees ni kama
books and stationary 150,000 x2
meals 952000x2
accommodation 595000x2
IPT expenses 600000x2
transport IPT 40000x2
total cost mpaka namaliza chuo ni shilingi 6679000
msaada wa ada ninaoomba ntaurudisha baada ya kuhitimu masomo na kupata kazi kwa kulipia kidogo dogo kwa kuongezea riba ya asilimia ishirini
yaani mwisho ntarudisha 8014800 tshs
kama unataka kujiridhisha zaidi nipo na admission letter tayari,na msaada wa hali yoyote ile unakaribishwa
malengo yangu ni kugraduate nikiwa competent kwenye computer programming
ntashukuru endapo lengo langu litakubaliwa
mawasiliano 0628 041 901
Kwamba uta rudisha baada ya kumaliza na kupata kazi ..kumbe manabii/watabiri wengi saivi
tapatalk_1540550484501.jpeg
 
Mkuu pitia kwenye nyumba za ibada pia unaweza kumpata msalimalia wa kujitolea.
 
Sio rahisi hivyo mkuu, huku watu watakukejeli na kuishia kukutia moyo tu ila kuhusu support ya ada sahau.... Humu weka uzi watu watachangia lakini sio swala la msaada wa kifedha
And by the way kwa hali ya sasa ni ngumu kujiaminisha kua utalipa ukipata kazi maana graduates wamejaa kibao mtaani hawana kazi, nawajua computer programmers kadhaa wanasota mtaani bila kazi tena na degree zao, sasa wewe diploma how sure are you utapata kazi na pia unaweza ukapata ila ikatake time saaana. Sasa nani ambaye yupo tayari kusubiri suppose five to ten years kupata hela yake?... Mkuu tafuta sources zingine za msaada lakini don't rely on jamiiforums
 
Kwa ninavyojua Udsm mimi. cha muhimu pale ada ya hostel kwanza alafu mwisho wa ada ya chuo wanakupa wiki 4 mbele ya kulipa so bado muda wa kulipa upo. Hicho siyo chuo cha binafs au vingine wanaotaka ada siku ya kwanza.
 
wametoa wiki mbili so by tarehe 20 inabidi niwe nishapata ada angalau ya kufanya registration
 
Sasa utasoma ukiwa huna pesa?
Ushauli wa bure huu hapa,,,hailisha kusoma mwaka huu then fanya vibarua kubeba zege,saidia fundi na chochote kitakachokufanya uapate hata kama ni laki mbili kwa mwezi. Save hiyo pesa kufikia mwakani mwezi kama huu utakua na zaidi ya m 2'
but mkuu shule ndo the best thing ever in life kwa watu maskini,
 
Sasa utasoma ukiwa huna pesa?
Ushauli wa bure huu hapa,,,hailisha kusoma mwaka huu then fanya vibarua kubeba zege,saidia fundi na chochote kitakachokufanya uapate hata kama ni laki mbili kwa mwezi. Save hiyo pesa kufikia mwakani mwezi kama huu utakua na zaidi ya m 2'
nilisha ahirisha sana miaka hiyo hela ya kusave bado matatizo yalikuwa hayaishi so bado nilikuwa naitumia kumaliza matatizo mapya yaliyokuwa yanajitokeza
 
Back
Top Bottom