Msaada: A program to completely remove sturbon programs!

EMPTY

JF-Expert Member
Joined
Dec 14, 2011
Posts
978
Reaction score
1,196
How are you doing wakuu?
The above tittle is concerned, nina some programs ambazo hazikubali kuwa uninstalled kwa njia ya kawaida yaani zina leta uninstallation error!
So, nisaidieni best program ambayo itanisaidia kwa tatizo hilo!
10NKS IN ADVANCE!!
 
Hii nahisi itanifaa ila wanaseme ni "30 days free trial".

So, kama kuna maujanja yeyote ya kuchakachua pia msaada unahitajika!

Much Appreciation Mkuu!!
 
Revo wana version ya bure ambayo itasolve tatizo
 
Hii nahisi itanifaa ila wanaseme ni "30 days free trial".

So, kama kuna maujanja yeyote ya kuchakachua pia msaada unahitajika!

Much Appreciation Mkuu!!

Hizo program zote ulizotajiwa ni za bure labda tu kama ukitaka kuUpgrade kwenda pro ndipo inakuwa trial version. Yawezekana baadhi ya vipengele vya hizo programu vilifutwa kiholela tumia Ccleaner kusafisha pc yako
 
How are you doing wakuu?
The above tittle is concerned, nina some programs ambazo hazikubali kuwa uninstalled kwa njia ya kawaida yaani zina leta uninstallation error!
So, nisaidieni best program ambayo itanisaidia kwa tatizo hilo!
10NKS IN ADVANCE!!

youruninstaller is ur solution , hii haijawai niangusha, iko poa sana
 
Wakuu ahsanteni sana!

MUCH APPRECIATION!.
Secondly, Mheshimiwa MODERATOR Mkuu C6 !:Nisaidie na hiyo YOUR UNISTALLER.
Thanx!
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom