Anita Baby
JF-Expert Member
- Oct 2, 2011
- 1,265
- 539
Naomben msaada pls, cm yangu haifungui pdf file. Anaeweza kuniwekea nikayaona kwa cm anisaidie!
Naomben msaada pls, cm yangu haifungui pdf file. Anaeweza kuniwekea nikayaona kwa cm anisaidie!
Naomben msaada pls, cm yangu haifungui pdf file. Anaeweza kuniwekea nikayaona kwa cm anisaidie!
chief-mkwawa ya kwangu BB 9800 lakini siwez kusoma pdf files,naomba msaada.simu gani?
chief-mkwawa ya kwangu BB 9800 lakini siwez kusoma pdf files,naomba msaada.
Sent from my BlackBerry 9800 using JamiiForums
mkuu kwa simu kama blackberry piaaaa? Si kuna store? Ushawahi kuingia hata sku moja store yako ya bb ukasearch ukakosa?
Then kuna apps inaitwa docs2go ya bb inafungua documents zote (kwenye os7) lakini inamis pdf kwenye os za nyuma. Kama simu yako inasuport ku update kwenda os hio give it a try.