Msaaada: Tatizo la Macho

toghocho

toghocho

JF-Expert Member
Joined
Mar 16, 2011
Messages
1,174
Points
1,195
toghocho

toghocho

JF-Expert Member
Joined Mar 16, 2011
1,174 1,195
Heshima mbele wakuu, kwa siku kama 4 sasa, nimekuwa nasumbuliwa na Tatizo hili la macho,
ni kwamba, Mie (au niseme macho yangu) huwa ni maoga sana kwenye mwanga mkali na hasahasa wa JUa la hapa dar.
sasa macho yangu ghafla yamedevelop kitu kama kagiza flani, ambapo kumuona mtu waweza muona but humtambui sura mpaka karibu kabisa, simu ndio hata text kusomna ni issue, computer ndo naaandika huku naangalia keybord, maana hata kusoima haya nnayoyaandioka ni mpaka kama nachungulia, uso karibu kabisa na screeen na bado sioni clearly...ukweli tatizo hili limenianza ghafla , na linanitesa sana..especially kwenye kutembea mchana, kufanya kazi kwenye computer na matumizi ya simu yangu..
ni kama kagiza flani kametanda machoni kwa hiyo nnaona kama kagiza..ile clearness ya picha hakuna especially niki-focus, kanakinga image siioni vizuri, then kwenye kusoma ndo kabisaaaaaaa, msaada wakuu...
 
S

sky_haf

JF-Expert Member
Joined
Oct 7, 2012
Messages
226
Points
0
S

sky_haf

JF-Expert Member
Joined Oct 7, 2012
226 0

Kichwa hakiumi??
Kama kinauma tatizo ni kwamba macho yako yanashindwa kupunguza mwanga mkali unaoingia kwenye jicho hivyo huifanya retina ya jicho kupata moto na kichwa kuuma. Dawa yake miwani ya black/grey photo glasses kama hakiumi wasubir wataalamu wanakuja
 
toghocho

toghocho

JF-Expert Member
Joined
Mar 16, 2011
Messages
1,174
Points
1,195
toghocho

toghocho

JF-Expert Member
Joined Mar 16, 2011
1,174 1,195
Kichwa hakiumi??
Kama kinauma tatizo ni kwamba macho yako yanashindwa kupunguza mwanga mkali unaoingia kwenye jicho hivyo huifanya retina ya jicho kupata moto na kichwa kuuma. Dawa yake miwani ya black/grey photo glasses kama hakiumi wasubir wataalamu wanakuja
asante mkuu, lakini kichwa hakiniumi kabisa, zaidi ya hako kagiza kanakosababisja sioni vema, hasa kuna kiama kagiza kanakokinga nisione sura ambayo inakuwa imezibwa flan hivi...kuna kiwingu flani hivi
 
King'asti

King'asti

JF-Expert Member
Joined
Nov 26, 2009
Messages
27,687
Points
2,000
King'asti

King'asti

JF-Expert Member
Joined Nov 26, 2009
27,687 2,000
Nenda hospitali bwana. Unahitaji kuangaliwa physically. Uende leo, sawa?
 
O

Offline User

JF-Expert Member
Joined
Dec 20, 2010
Messages
3,849
Points
2,000
O

Offline User

JF-Expert Member
Joined Dec 20, 2010
3,849 2,000
Nenda hospital! Sio kila kitu ni cha kuleta hapa!
 
MGANGA WA KIENYEJI

MGANGA WA KIENYEJI

JF-Expert Member
Joined
Sep 10, 2012
Messages
507
Points
170
Age
106
MGANGA WA KIENYEJI

MGANGA WA KIENYEJI

JF-Expert Member
Joined Sep 10, 2012
507 170
Heshima mbele wakuu, kwa siku kama 4 sasa, nimekuwa nasumbuliwa na Tatizo hili la macho,
ni kwamba, Mie (au niseme macho yangu) huwa ni maoga sana kwenye mwanga mkali na hasahasa wa JUa la hapa dar.
sasa macho yangu ghafla yamedevelop kitu kama kagiza flani, ambapo kumuona mtu waweza muona but humtambui sura mpaka karibu kabisa, simu ndio hata text kusomna ni issue, computer ndo naaandika huku naangalia keybord, maana hata kusoima haya nnayoyaandioka ni mpaka kama nachungulia, uso karibu kabisa na screeen na bado sioni clearly...ukweli tatizo hili limenianza ghafla , na linanitesa sana..especially kwenye kutembea mchana, kufanya kazi kwenye computer na matumizi ya simu yangu..
ni kama kagiza flani kametanda machoni kwa hiyo nnaona kama kagiza..ile clearness ya picha hakuna especially niki-focus, kanakinga image siioni vizuri, then kwenye kusoma ndo kabisaaaaaaa, msaada wakuu...
Vaa miwani ya kuzuia mwanga mkali wa jua. Kula mchicha au mboga za majani kwa wingi na vyakula vya vitamin A. Vile vile kunywa maji mengi.
 
B

Baba mtata

JF-Expert Member
Joined
Dec 6, 2012
Messages
280
Points
0
B

Baba mtata

JF-Expert Member
Joined Dec 6, 2012
280 0
Habar wakuu
Naomba kufahamu tatizo la macho mfano nikiangalia screen ya simu macho yanapata tabu na yanakua kama mazito hivi katika uonaji je tatizo ni nini na dawa yake ni nini?yanakama siku tatu tangia yaanze kunsumbua
 
measkron

measkron

JF-Expert Member
Joined
Apr 11, 2011
Messages
3,786
Points
1,500
measkron

measkron

JF-Expert Member
Joined Apr 11, 2011
3,786 1,500
Habar wakuu
Naomba kufahamu tatizo la macho mfano nikiangalia screen ya simu macho yanapata tabu na yanakua kama mazito hivi katika uonaji je tatizo ni nini na dawa yake ni nini?yanakama siku tatu tangia yaanze kunsumbua
Nakushauri ufike hospitali mkuu utafanyiwa kipimo cha visual acuity na vinginevyo kuweza kubaini tatizo, kusema daawa ni ngumu bila kujua nini tatizo.
 
M

Mwanaweja

JF-Expert Member
Joined
Feb 8, 2011
Messages
3,577
Points
1,195
M

Mwanaweja

JF-Expert Member
Joined Feb 8, 2011
3,577 1,195
nenda hospital lakini bila kusahau matunda ni muhimu sana
 
Forum statistics

Threads 1,295,830
Members 498,409
Posts 31,224,622
Top