Kuna mabandiko kadhaa yanayoelezea kuhusu kuearn money online kwa kufanya kazi mbalimbali kama translation nk, baada yakupitia mitandao kadhaa nikakutana na ile inayoweza kuearn money through watching videos, ads na kucomplete surveys, ila ugumu niliouona ni kuwa mingi haifunguki kwa huku kwetu tz, so swali langu ni kuwa je kuna namna unaweza kujiregister na kuweza kuearn money through VPN? Au kuna namna gani yeyote? kuna mwenye uzoefu na hili?