steve_shemej
JF-Expert Member
- Nov 26, 2015
- 1,092
- 1,433
Nahitaji kujua jinsi ya kutuma pesa kutoka afrika kusini kwenda Tanzania kilahisi njia ipi ni Bora?
Sent using Jamii Forums mobile app
Sent using Jamii Forums mobile app
sio kwamba anataka tujue yupo Bondeni... maana sidhani kama anakosa jumuiya ya watz wanaoishi bondeni kumfungua akiliKilahisi? Ulifikaje South hata hujui namna ya kutuma pesa TZ?
Money gramNahitaji kujua jinsi ya kutuma pesa kutoka afrika kusini kwenda Tanzania kilahisi njia ipi ni Bora?
Sent using Jamii Forums mobile app
Duh watanzania watu wa ajabu hivi Uzi wangu umeeleza Mimi nipo wapi? Alafu chuki za kipuuziKilahisi? Ulifikaje South hata hujui namna ya kutuma pesa TZ?
Ndugu katika maelezo yameeleza Mimi nipo wapi? Alafu south mbinguni? Je ningesema npo marekani? Watanzania mnachukisio kwamba anataka tujue yupo Bondeni... maana sidhani kama anakosa jumuiya ya watz wanaoishi bondeni kumfungua akili
Nashukuru kwa maelezo ndugu Sasa songe hakna westernuion shida apoMoney gram
Western Union
Mpesa
Tigo pesa
Hiyo Mpesa na Tigpesa tafuta wenyeji watakuelewesha huwa wanafanyaje, Nimewahi kutumiwa hela kwa Mpesa kutoka bondeni kwa Madiba.
Sent using Jamii Forums mobile app
angalia world remit wanaweza tuma straight kwenda mpesa au tigopesaNdugu katika maelezo yameeleza Mimi nipo wapi? Alafu south mbinguni? Je ningesema npo marekani? Watanzania mnachuki
Sent using Jamii Forums mobile app
Mi natuma nifuate inboxNahitaji kujua jinsi ya kutuma pesa kutoka afrika kusini kwenda Tanzania kilahisi njia ipi ni Bora?
Sent using Jamii Forums mobile app
Rudi shule elimu Ni bure kwa SasaNahitaji kujua jinsi ya kutuma pesa kutoka afrika kusini kwenda Tanzania kilahisi njia ipi ni Bora?
Sent using Jamii Forums mobile app
angalia world remit wanaweza tuma straight kwenda mpesa au tigopesa
Kama upo Cape town nicheki nikuunganishe na Mwana fasterNahitaji kujua jinsi ya kutuma pesa kutoka afrika kusini kwenda Tanzania kilahisi njia ipi ni Bora?
Sent using Jamii Forums mobile app
Nakutumia namba ya inbox ya mtu ambae anafanya hizo mishe hapa Johannesburg,.Nahitaji kujua jinsi ya kutuma pesa kutoka afrika kusini kwenda Tanzania kilahisi njia ipi ni Bora?
Sent using Jamii Forums mobile app