Watakupa huduma zifuatazo kwa ujuzi mkubwa (1) satellite dish. Hii ni kwa free to air zikiwemo channel za hapa nyumbani mfano itv,ch5,capital,tbc,startv pia kwa channel za kulipia kama zuku, dstv eutel w7, abudhabi sport plus aljazeera sport and dubai one nilesat 7 na nyingine nyingi za free zikiwemo za dini. (2)telestereo. Hivi ni ving'amuzi kama startime, teksat, digitek na contnetal (3)Cablering. Ni huduma za tv kwenye hotel, rodge, hall, apartment (4)Camera. Ofisini, majumbani, hotelini, viwandani nk. Tunauza vifaa vyote kwa jumla na rejareja na tunafunga na kutengeneza kwa ujuzi wa hali ya juu. Karibuni ushauli kwetu ni bure. 0784939522.