Nibozali
JF-Expert Member
- Oct 15, 2016
- 572
- 1,055
Baada ya serikali yangu pendwa kusitisha Ajira na hatimaye kupelekea mrundikano Wa wasomi Maelfu mitaani wenye shahada na stashahada, ningependekeza majeshi yetu kwa maana ya Jwtz, polisi na magereza kutumia Fursa hii kuwaingiza wasomi wengi kwenye majeshi maana kwa namna wengi walivyochoka huku wengi wakiwa hawajui wafanye nini wengi watapenda kujiunga na maajeshi Haya
Kwa mtu anayebisha ajaribu kufanya kautafiti kadogo tu atabaini ni kwa namna gani vijana wasomi walioko mitaani wanatamani Fursa hii ingetangzwa.
Kazi kwenu majeshi, haina haja ya kusubiri chukueni wasomi