Mrs Meya akiwa katika pozi tofauti

bievinii

JF-Expert Member
Joined
May 12, 2021
Posts
712
Reaction score
744
Hayaaaa wakuuuu MRS MEYA akiwa kwenye pozi tofauti hapa km kibibi

Hapo pengine ni km binti tu Hadi raha
 
Mkuu mm npo nanyumbu huku ndio Nani huyo jamani?

Sent from my TECNO F1 using JamiiForums mobile app
Huyu alikuwa akijiitaga dida wamchops baadae akawa anajiita dida wa ezden hao wote walikuwa waume zake na wengine wawili nimesahau majina yao inshot keshaolewa Mara kibao tu

Sasa keshakuwa kibibi ndio kaangukia kwa muheshimiwa
Kwa kifupi huyu Ni mdangaji km wandangaji wengine wa mjini tu
 
Muheshimiwa wa wap kalivagaa Hilo SANTULA jaman hata hedhi s ishakata huyu au

Sent from my TECNO F1 using JamiiForums mobile app
 

Duh...
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…