Siyatambui haya mapinduzi! Kongosho we ni hawara na utabaki kuwa hawara!
Mke halali wa Bishanga ni The secretary na si mwingine!
I remain-
Erickb52
Mwenyekiti
Yaani Kamanda usijali ! Hiyo vote fanya ya kufikia tu!
Ngoja nimalize kujinyoa nikamvotie shemeji .
Asante sana! muda wa kuvote bado ndugu yangu..
muda huu ni wa mapendekezo kwanza. afu leo ndiyo the end....
Kama huna 'me', basi wewe si mbuzi
Siyatambui haya mapinduzi! Kongosho we ni hawara na utabaki kuwa hawara!
Mke halali wa Bishanga ni The secretary na si mwingine!
I remain-
Erickb52
Mwenyekiti
CC: tiefuefu. Mwenye akili apige kimya!
Biashara asubuhi, jioni mahesabu.
Unacheza wewe
makidamakida?
wote tungeamua kuanzisha thread si pangekuwa hapatoshi
Asante bby
Miss you sanaaaa
Na tunawatangazia mapema 2015 ukiutaka Ukikwete bila kuwa Member JF huupati ng'o. Uongozi wote sasa hivi unapangwa JF, Tena safari hii MMU ndio wamepania kumtoa Kikwete mpya 2015.
Mke mwenza, tutafute tindikali originale