Mwanajamii
JF-Expert Member
- Mar 5, 2008
- 7,063
- 72
- Thread starter
-
- #101
Alafu hili lina ukweli ndani yake!
Fedha - Mkulo,
Mambo ya Ndani - Shamsi,
Afya - Hadji,
Ulinzi - Hussein,
Elimu - Shukuru,
etc..
Nasikia dada huyu aliwahi kusababisha ugomvi wa kindoa na aliyekuwa mke wa zamani wa****** ambaye hivi sasa ni mbunge wa viti maalum, Rose Kamili.
Jadili hoja iliyopo mezani.kwani huamini nini hapo.Tupe source mkuu
Ficha Upumbavu wako....SOURCE; Invisible.
Mh...hongerakamanda;Lakini Dr,hivi wana CHADEMA Ifakara hawapo?
Ni vema kujiepusha na lawama toka kwa magamba kwa kuhakikisha si tu haki inatendeka,bali inaonekana kuwa imetendeka
Shemeji walimwengu wana dogo?yaani hapo hata wewe saivi wanakuonea gere kweli.kula maisha ni wakati wako huu.Great thinker,
hayo yakuishi kwa Mtu yanahusiana vipi na CV ya mtu, Kila mtu katika maisha amepita nakuishi nawatu mbalimbali isiwe sababu. Acheni uzushi wa mambo kama una sababu ambazo unataka kuzileta hapa zitakurudia mwenyewe.
Najua wewe uliye andika hili uko Karatu it won't work, jaribuni njia nyingine. Bahati ya mwenzio Please please msiilalie mlango wazi.
Mlijaribu kuzuia tangu mwanzo,lakini mpango wa Mungu hauzuiliki ana haki na ni mwanachama halali mengine msiyajenge.
Mh...hongerakamanda;Lakini Dr,hivi wana CHADEMA Ifakara hawapo?
Ni vema kujiepusha na lawama toka kwa magamba kwa kuhakikisha si tu haki inatendeka,bali inaonekana kuwa imetendeka
umetaja watano tu,angali hapa sasa,
mambo ya nje Benard membe
Uwekezaji-maria Nagu
Biashara-Cyril chmi
Mifugo-David Mathayo
Nishati na Madini-wilium Ngeleja
Utalii-Ezekiel
Maji-Markson mwandosya
michezo-Emmanuel ..............................................................nk nk nk.mnaulizana dini na ukabila mnataka kutambika?