Hayo ni wewe umesema....CCM imegusa kila kona...niambie ni mkoa gani au wilaya gani ambapo CCM haina mwakilishi!!!
RAJAO? Kwa taarifa yako hiyo ni NEC iliamua hivyo Jina limetokana na wabunge wa viti maalumu waliokuwa wamependekezwa katika uchaguzi mpya. Kwa hiyo hilo swala la kusini na kaskazini achana nalo.
Joined date ni Jana (23/01/2012)
Total Post 31!
Hivi wewe una tofauti gani na Rejao na Rtz?
kwani alokufa nae alikuwa wa kaskazini?Wanazidi kutudhihirishia kuwa hiki chama ni cha watu wa KASKAZINI!!!
Tunaye Mwanahamis Said kutoka Chake Chake Pemba!Mkuu Rejao,
Nitajie japo Mwakilishi / Mbunge wenu wa kuchaguliwa angalau Mmoja anaetoka PEMBA!
Wizara zote muhimu katika nchi wamepewa waislam! je unalizungumziaje hili?
Hapa ndipo CDM walipokosea....ingebidi mrithi wake atoke angalau Morogoro. Hawajawatendea kabisa haki wale vijana wote waliotumia nguvu zao siku ya msiba wa Regia kule Ifakara.kwani alokufa nae alikuwa wa kaskazini?
Basi watu wa Kaskazini wasiwe wanagombea kiti chochote.Wanazidi kutudhihirishia kuwa hiki chama ni cha watu wa KASKAZINI!!!
Hapa ndipo CDM walipokosea....ingebidi mrithi wake atoke angalau Morogoro. Hawajawatendea kabisa haki wale vijana wote waliotumia nguvu zao siku ya msiba wa Regia kule Ifakara.
Jibu swali,alokufa nae alitoka kaskazini?Hapa ndipo CDM walipokosea....ingebidi mrithi wake atoke angalau Morogoro. Hawajawatendea kabisa haki wale vijana wote waliotumia nguvu zao siku ya msiba wa Regia kule Ifakara.
Wasifu wake mojwapo ni ukaribu wake usio wa kawaida kati yake na aliyekuwa mgombea urais aliyeshindwa na kusema kura zake zimechakachuliwa
Tatizo la kufikiri kwa kutumia masaburi. Hivi toilet paper zilikuwa hazipatikani? au hata maji!:lol:
Tatizo la kufikiri kwa kutumia masaburi. Hivi toilet paper zilikuwa hazipatikani? au hata maji!:lol: