Mrithi wa Dr. Mponda mnamjua??

Mrithi wa Dr. Mponda mnamjua??

Mr.mzumbe

JF-Expert Member
Joined
Oct 11, 2011
Posts
1,062
Reaction score
1,065
As-salaam alykum wanajf,
habari nilizopata kutoka kwa mtu mmoja jina lake kwenye kikapu ni kwamba Kikwete anatarajiwa kumtangaza Prof.MAJIMAREFU mbunge wa tanga kuwa mrithi wa Dr.Mponda. Ebu tupeni CV ya prof.majimarefu kwa uchache. Hii ndio bongo bwana,kila kitu kinawezekana.

Waswahili tunasema "HAKUNA CHUO CHA UWAZIRI".
 
haiwezekaniiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiii
 
Huyo si daktari nae,tena yupo kwnye "kamati ya wizara ya afya na ustawi wa jamii"
 
As-salaam alykum wanajf,
habari nilizopata kutoka kwa mtu mmoja jina lake kwenye kikapu ni kwamba baba riz/baba mwanaasha anatarajiwa kumtangaza Prof.MAJIMAREFU mbunge wa tanga kuwa mrithi wa Dr.Mponda.
Ebu tupeni CV ya prof.majimarefu kwa uchache.
Hii ndio bongo bwana,kila kitu kinawezekana.Waswahili tunasema "HAKUNA CHUO CHA UWAZIRI".
Tupe source plse
 
Mzumbe hayo ni majungu yako peleka uswahilini sio hapa kwenye great thinkers plse
 
kwani wizara ya afya sikuhivi wanahitaji na waganga wakienyeji?
 
Leo kada wa christian council movement umenifurahisha sana
 
As-salaam alykum wanajf,
habari nilizopata kutoka kwa mtu mmoja jina lake kwenye kikapu ni kwamba Kikwete anatarajiwa kumtangaza Prof.MAJIMAREFU mbunge wa tanga kuwa mrithi wa Dr.Mponda. Ebu tupeni CV ya prof.majimarefu kwa uchache. Hii ndio bongo bwana,kila kitu kinawezekana.

Waswahili tunasema "HAKUNA CHUO CHA UWAZIRI".

Haaahaaa! Kuna mambo mengine mpaka yanatia kinyaa. That dude,where would he lead us as a minister? Kusafisha nyota na kupiga ramli?
 
uzuri wa prof maji marefu hajikwezi anasema ye darasa la sama na utendaji ni wake ni wa viwango vya kiprofesoor anawashirikisha wananchi ambao wengi ni datasa la saba wenzie
 
Sidhani kama waliobuni huu uwanja walikusudia pawe mahali pa mizaha. Ila kwa wanaopenda mizaha kuna mahali pake humu jamvini!!!????
 
Back
Top Bottom