Mrithi ajitokeze

Huenda alikamatwa ama hatunaye huo unga udispose toilet pesa zibadil kwa madafu then anzisha business ya kisela huwezi jua ndo ntoke vip umeletewa kwa mlango

Unafaa kuwa mshauri wangu wa matumizi, tutafutane baada ya wiki mbili. Hiyo ya kuumwaga hapana, hiyo chakula ya matajiri, baada ya wiki mbili kama sijalamba offer mbadala nailamba hiyo ya Dola 100 kwa gram.
 
Hivi wajua utachangia kuharibu vijana wangapi kwa kuuza huo unga? Nko mbion kujiajiri so ka wataka kuwa partner waweza nichek nikupe business plan nayotaka kuimplement...
Unafaa kuwa mshauri wangu wa matumizi, tutafutane baada ya wiki mbili. Hiyo ya kuumwaga hapana, hiyo chakula ya matajiri, baada ya wiki mbili kama sijalamba offer mbadala nailamba hiyo ya Dola 100 kwa gram.
 
Weye unaona maghorofa yanamea kama michicha unadhani mchezo eh. Tafuta viwanja jenga mi-apartment, cement unanunua casha kwa massawe. Vifaa vya finishing uwe unakopa, ili wasikustukie unazo. Afu unawalipa mwisho wa mwezi.

Ila kwa wiki 2 tu umetumbua $6000, hadi mwaka uishe utakua huna mia na hujafanza lolote.
 
We tule wote ela. Ni PM Vocha ya kutosha.
 

so unamshauri nini¿¿¿¿¿¿
 
Huyo nakwambia amezama na MV SKAGETI....kwa kuwa mimi na Kongosho ni wanyamwezi,bila shaka ukitupatia hjuo mzigo tutaufikisha kwao pale mtaa wa ghana jijini Mwanza.Hizo dollar 6,000,tutakuachia.
 
Last edited by a moderator:
Ujue mie ndio angelina mwenyewe?

Wee Bakari, mdogo wake na Salma, umeanza kutumbua pesa zangu? Nitakuwowa akyamama

Huyo nakwambia amezama na MV SKAGETI....kwa kuwa mimi na Kongosho ni wanyamwezi,bila shaka ukitupatia hjuo mzigo tutaufikisha kwao pale mtaa wa ghana jijini Mwanza.Hizo dollar 6,000,tutakuachia.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…