Mtumishi Wetu
JF-Expert Member
- Oct 12, 2010
- 5,711
- 1,914
Huko alkokwenda kulala kuanzia Ijumaa hadi Jumapili si wampe msaada??? Pana ogopa VVU wewe unatafuta kifo, ukweli si umeisha pewa unangoja nini sepa!!!!Wadau, jana niliwaombeni ushauri juu ya binti ambaye alikuwa mchumba wangu, lakini hakuwa mwaminifu, alilala kwa mwanaume mwingine toka ijumaa hadi jumapili na baadae kuja kuomba msamaha!
Leo, nataka kuwapa feedback-kwanza ile jana dada wa binti alijitahidi mpaka akaonana na mimi japo nilijitahidi sana kujenga mazingira ya mimi kuto kukutana na yeye, alipo fika tukaongea kwa kirefu juu ya mdogo wake, na yeye alikiri kwamba mdogo wake hakuwa mwaminifu, lakini wamekwisha mweka chini na wamemsema sana! Nikamwambia nashukuru kwa kulitambua hilo kwani hata mimi nilienda pale hostel bila taarifa kwani nilisha pata hizo habari za yeye kutoka kila ijumaa, hivyo nikamwambia mimi basi tena! Akajitahidi sana kunishawishi nibadili msimamo, lakini nikamgomea!
Leo hii, binti amewahi ofisini kwangu kuliko hata mfagia ofisi, nakuja nimemkuta amekaa nje ananisubiri, alipo niona tu akaanza kulia na kunishika miguu eti nimsamehe, nikamtimulia mbali, akaenda kwa bosi wangu (ni mama) kumwelezea kila kitu, amemwomba eti amsaidie kunisii mimi nimsamehe, eti ni marafiki zake walimdanganya, hata kaa arudie tena! Na ameomba sana hili swala mama yake asijue, eti anapressure anaweza kupata matatizo! Sasa huyu mama amesema niende ofisini kwake saa 8, na anaonekana anataka kunishawishi nisamehe, na mimi sipo tayari kusamehe, wadau ushauri wenu please!
Binti bado yupo hapa around, yupo kama amechanganyikiwa tena sana, kiukweli nimemsaidia sana yeye na familia yake kiuchumi, tangu akiwa kidato cha tano hadi sita, then first year hadi sasa yupo third year!
Lakini jamani mm sijui nikoje, hivi kweli mtu mkosaji huwa hapewi nafasi ya kujutia?? na kama akikiri kosa lake haruhusiwi kusamehewa tena bila masharti??
binti alikosea sawa tena sana, ila kama ametambua kosa lake na kukiri sion sababu ya kutomsamehe na istoshe wewe ni mwanaume nakuakikishia huwez kukutana na mwanamke malaika kwamba hatakaa akukosee.
huwa naamin zaid katika mtu kukiri kosa na kutubu na kubadilika, na bora mtu anayetubu na kuomba msamaha kwa kumaanisha kuliko mtu anayejificha kwenye kivuli cha wema ilihali ni mkosaji. nmtu anayekosa na kukiri kwa kumaanisha basi huyu yuko prone to kubadilika kuliko anayeyaficha makosa kwa kivuli cha wema.
anyways fuata myo wako kwan mm huwa nikoe mtu wa tofauti sana.
Wadau, jana niliwaombeni ushauri juu ya binti ambaye alikuwa mchumba wangu, lakini hakuwa mwaminifu, alilala kwa mwanaume mwingine toka ijumaa hadi jumapili na baadae kuja kuomba msamaha!
Leo, nataka kuwapa feedback-kwanza ile jana dada wa binti alijitahidi mpaka akaonana na mimi japo nilijitahidi sana kujenga mazingira ya mimi kuto kukutana na yeye, alipo fika tukaongea kwa kirefu juu ya mdogo wake, na yeye alikiri kwamba mdogo wake hakuwa mwaminifu, lakini wamekwisha mweka chini na wamemsema sana! Nikamwambia nashukuru kwa kulitambua hilo kwani hata mimi nilienda pale hostel bila taarifa kwani nilisha pata hizo habari za yeye kutoka kila ijumaa, hivyo nikamwambia mimi basi tena! Akajitahidi sana kunishawishi nibadili msimamo, lakini nikamgomea!
Leo hii, binti amewahi ofisini kwangu kuliko hata mfagia ofisi, nakuja nimemkuta amekaa nje ananisubiri, alipo niona tu akaanza kulia na kunishika miguu eti nimsamehe, nikamtimulia mbali, akaenda kwa bosi wangu (ni mama) kumwelezea kila kitu, amemwomba eti amsaidie kunisii mimi nimsamehe, eti ni marafiki zake walimdanganya, hata kaa arudie tena! Na ameomba sana hili swala mama yake asijue, eti anapressure anaweza kupata matatizo! Sasa huyu mama amesema niende ofisini kwake saa 8, na anaonekana anataka kunishawishi nisamehe, na mimi sipo tayari kusamehe, wadau ushauri wenu please!
Binti bado yupo hapa around, yupo kama amechanganyikiwa tena sana, kiukweli nimemsaidia sana yeye na familia yake kiuchumi, tangu akiwa kidato cha tano hadi sita, then first year hadi sasa yupo third year!
hakika MUNGU wetu ni wa kutumainiwa kwa kutuumba tofauti.......hiyo situation kwa upande wangu....kuitatua nikaridhika na moyo ukawa mweupe ni lazima mmoja awe marehemu....kwa siku hiyo au next day.......kwangu mimi HAIWEZEKANI........moyo wangu una kazi mbili tu.....kupenda na kufa.....mengine hayauhusu........
Na sio mara moja ni kila ijumaa anatoka
Throuh my experience nimeshashuhudia mifano kama 4 au 5 ya mwanaume kumsomesha mwanamke mpaka anamaliza level ya chuo na kilichowatokea hao watu ni kuja kutemwa na hao waliowasomesha,na mmoja ni rafiki yangu wa karibu sana ambaye ameachana na huyo demu baada ya kumsomesha na kufunga nae ndoa iliodumu kwa mwaka mmoja,alimkandia kuwa hawezi kuishi na mtu mzima,anahitaji kijana mwenzie na mbaya zaidi alimwambia kwani nilikulazimisha kunisomesha,hii kitu inaumiza sana,najua maumivu unayoyapata kwani rafiki yangu aliamua kujiingiza kwenye pombe za kupindukia ili kufuta mawazo tukafanikiwa kumuokoa ila ameapa hataoa wala kuja kuishi na mwanamke tena katika maisha yake,so ma fella JF member it's upon you,kumsamehe au kumshiti nilichokuwa nakupachapo juu ni angalizo tu.Wadau, jana niliwaombeni ushauri juu ya binti ambaye alikuwa mchumba wangu, lakini hakuwa mwaminifu, alilala kwa mwanaume mwingine toka ijumaa hadi jumapili na baadae kuja kuomba msamaha!
Leo, nataka kuwapa feedback-kwanza ile jana dada wa binti alijitahidi mpaka akaonana na mimi japo nilijitahidi sana kujenga mazingira ya mimi kuto kukutana na yeye, alipo fika tukaongea kwa kirefu juu ya mdogo wake, na yeye alikiri kwamba mdogo wake hakuwa mwaminifu, lakini wamekwisha mweka chini na wamemsema sana! Nikamwambia nashukuru kwa kulitambua hilo kwani hata mimi nilienda pale hostel bila taarifa kwani nilisha pata hizo habari za yeye kutoka kila ijumaa, hivyo nikamwambia mimi basi tena! Akajitahidi sana kunishawishi nibadili msimamo, lakini nikamgomea!
Leo hii, binti amewahi ofisini kwangu kuliko hata mfagia ofisi, nakuja nimemkuta amekaa nje ananisubiri, alipo niona tu akaanza kulia na kunishika miguu eti nimsamehe, nikamtimulia mbali, akaenda kwa bosi wangu (ni mama) kumwelezea kila kitu, amemwomba eti amsaidie kunisii mimi nimsamehe, eti ni marafiki zake walimdanganya, hata kaa arudie tena! Na ameomba sana hili swala mama yake asijue, eti anapressure anaweza kupata matatizo! Sasa huyu mama amesema niende ofisini kwake saa 8, na anaonekana anataka kunishawishi nisamehe, na mimi sipo tayari kusamehe, wadau ushauri wenu please!
Binti bado yupo hapa around, yupo kama amechanganyikiwa tena sana, kiukweli nimemsaidia sana yeye na familia yake kiuchumi, tangu akiwa kidato cha tano hadi sita, then first year hadi sasa yupo third year!
Lakini jamani mm sijui nikoje, hivi kweli mtu mkosaji huwa hapewi nafasi ya kujutia?? na kama akikiri kosa lake haruhusiwi kusamehewa tena bila masharti??
binti alikosea sawa tena sana, ila kama ametambua kosa lake na kukiri sion sababu ya kutomsamehe na istoshe wewe ni mwanaume nakuakikishia huwez kukutana na mwanamke malaika kwamba hatakaa akukosee.
huwa naamin zaid katika mtu kukiri kosa na kutubu na kubadilika, na bora mtu anayetubu na kuomba msamaha kwa kumaanisha kuliko mtu anayejificha kwenye kivuli cha wema ilihali ni mkosaji. nmtu anayekosa na kukiri kwa kumaanisha basi huyu yuko prone to kubadilika kuliko anayeyaficha makosa kwa kivuli cha wema.
anyways fuata myo wako kwan mm huwa nikoe mtu wa tofauti sana.
Lakini jamani mm sijui nikoje, hivi kweli mtu mkosaji huwa hapewi nafasi ya kujutia?? na kama akikiri kosa lake haruhusiwi kusamehewa tena bila masharti??
binti alikosea sawa tena sana, ila kama ametambua kosa lake na kukiri sion sababu ya kutomsamehe na istoshe wewe ni mwanaume nakuakikishia huwez kukutana na mwanamke malaika kwamba hatakaa akukosee.
huwa naamin zaid katika mtu kukiri kosa na kutubu na kubadilika, na bora mtu anayetubu na kuomba msamaha kwa kumaanisha kuliko mtu anayejificha kwenye kivuli cha wema ilihali ni mkosaji. nmtu anayekosa na kukiri kwa kumaanisha basi huyu yuko prone to kubadilika kuliko anayeyaficha makosa kwa kivuli cha wema.
anyways fuata myo wako kwan mm huwa nikoe mtu wa tofauti sana.
sometimea uwa nashangaa kama mtu aliona wewe humtoshi sasa kwanini ukitaka kumpa nafasi ya kujinafasi kwanini uwa analia anachanganyikiwa. Eti rafiki zake walimdanganya sasa nani kamfunua macho asidanganywe?
Chagua moja kama bado wampenda mpe muda wa kujirekebisha yani msamehe nusu nusu huku ukimake follow up
hakya mama umepona vizuri wewe hadi wanipa raha!!!!!!!!!Nalojiuliza ni je huyo binti analia kwa kuwa anajutia aliyofanya au analia kwa kuwa kafumaniwa, au pengine analia kwa kuwa atakosa support toka kwa jamaa.
Kama analia kwa usaliti kwani wakati anafanya huo usaliti hakujua maana kama hakujua kuwa analotenda si sawa asingedanganya jamaa alipompigia simu kumuuliza yuko wapi kuwa yuko hostel.
Tatizo madada zetu wanakuwa na wanaume wa ukweli kwa sababu ya kupata support tu pembeni wanakuwa na visharobaro vya kuuza navyo sura club na kutumiana vi msg whatsapp.
Braza ukitaka muua nyani fumba macho lenga shingo ukimtazama unaweza muonea huruma.
umewahi kupna kweli kweli.
btw nisamehe...................
Ndiyo mademu wengi walivyo, kameishatumika na kupigwa chini ndo kanakukumbuka..! Wee kamwaga mavi tu hivi vitoto njaa njaa kama hivi mimi nina uzoefu navyo..!